Naomba tuendelee kushirikiana tafadhali maana kila jambo na majira yake! Kumbuka majira huenda na kurudi. Majira si kama umri kwamba hauna rivasi na umri sio miaka kwamba kuna miezi 12 kila mwakaMshana kama umeacha hii maneno urafiki na mm umeisha aisee sikufaham haunifaham nlikuwa nakukubali sana na kukuamini saana. Haijapita siku sijatembelea thread yako
[emoji818][emoji1545][emoji817] NitakuchekiKuna project mbili ambazo tunaweza kuzifanya zikaleta tija kwenye jamii:
1. VIDEO LECTURES( O-LEVEL & A-LEVEL PAST PAPERS, NOTES AND ASSIGNMENTS)
2. MARKETPLACE-AGRICULTURE( MKULIMA ANAUZA MAZAO YAO ONLINE, MAWAKALA WANAPOST BEI YA MAZAO KILA MKOA, WATALAAM WANATOA HUDUMA YA ELIMU KUHUSU KILIMO NA UFUGAJI WANACHAMA WANALIPIA).
KAMA WATATOKEA WATU SERIOUS TUKACHAGUA PROJECT MOJA YA KUFANYA MJE PM FOR MEETING AND AGREEMENT.
Jana nimeona TBC1 wanaonesha bei ya mazao nchi nzima, ni kitu poa sana hili wazo nilikuwaga nalo toka zaman sana na nilishatengenezaga system yake niliita masoko. Hii system ilikuwa inaonesha masoko yote nchi nzima kuhusu nafaka na bei zake.
Kwa maboresho zaidi ibad iwe na mawakala nchi nzima wawe wanapakia bei ya mazao na mifugo, kuwe na wataalam wanaotoa elimu ya kulipia kwa wakulima na wafugaji pia wakulima wawe wanaweza kuuza mazao au mifugo online.
Marketplace iwe ina escrow ndani yake ili wamiliki wa mfumo wapate commission kwa kila mauzo yanayofanyika ...
APP IWE NA FEATURE HIZI
1. P2P MARKETPLACE WITH ESCROW SYSTEM(VERIFIED MERCHANT ONLY CAN POST ADS)
2. SUBSCRIPTION CONTENTS( 30DAYS ONLY)
3. MARKET PRICE( AGENT POST PRICE FOR EACH COMMODITIES)

AsanteπHivi hatuwezi kukutana na kutengeneza kitu cha pamoja? Maana penye wengi pana mengi
Nawasilisha
mkuu kwa uzoefu wako wa kariakoo i think we can create something big![emoji818][emoji1545][emoji817] Nitakucheki
Huyo ni mganga au shoga Ananogeza udi ?! Maana haeleweki na vijana wengi wa saiv hawaeleweki...
Wazo kabambe sana! ππΎJF watuanzishie JF Github tupeane maujuzi kwenye open source, jukwaa la Tech la wauza simu sahivi.
Thanks mwisho huu wa mwezi tutakuwa na kikao kwa wale ambao watakuwa interested.. Wajapan na wachina hata wahindi pia walifanya hivi wakaweza kwanini sisi tusindwe!?Anyways... Mshana Jr hii ni Idea nzuri sana kaka! [emoji1488]
Hopefully kwa pamoja tunaweza... kuna kipindi Twitter kuli-trend sana kuizungumza serikali mpaka ikawa inafungwa kwenye mipaka ya TZ mpaka uwe na VPN ndo Twitter yako ingeweza kufanya kazi... lakini kuna watu walithubutu ideas za namna hii na wakaweza. Siku hizi wana Festival yao huwa wanaifanya inaitwa "T.O.T Bonanza" na huwa inafanyika mara mbili kwa mwaka... binafsi nimewahi kuhudhiria mara kadhaa kwenye Festival za TOT, Nafkiri hichi tunachofikiria kukianzisha kiwe zaidi ya wale na kifike mbali zaidi tukiwa na malengo fulani fulani yenye tija [emoji1474][emoji1488]
Nawasilisha!
Hii forum isha kuwa hovyo, yaani mtu anaweza leta maada ya maana lakini asilimia 90 ya comment ni za joking tuWengine tunaogopa utatuloga[emoji30]
Watu wana Verfied ID kwa ajili ya mambo muhimu na fake ID za kutumia kwenye siasa, nazani Fake ID ni saba zina umuhimu kwenye siasa kule basiNadhani sio wote na bado kuna namna mtu anaweza kujiunga bila kujitambulisha id take ya huku
Mimi ninazo nyingi shida humu kumejaaa joking za kutosha
Joking nyingi sana yaani unaweza toa hoja ya maana ila ikajaaa coment za kipuuzi tupuMbona vingi sana basi tu wabongo hatunaga tabia ya kujiamini na kuweka akili pamoja....