Wazo bunifu: Ma IT wa JF

Sidhani Kama watakutana kwa majina fake maana hicho kitakuwa kitu serious!huku JF kitaendelea na majina fake kwenye project majina halisi
Enzi za nyuma mbona tulikuwa tunakutana live na still watu na ID zao fake? Ujue mambo yaliharibika enzi za Magu, ila wakati wa JK nakumbuka kama Arusha tulikuwa tunakutana sana na fake ID za watu na ikapelekea kujuana sana, sema wakati wa Jiwe watu walibadili zile ID kabisa make hali ilikuwa mbaya
 
Ninazo kama Tatu, moja nilii copy kwenye mitandao ya India, ni nzuri sana shida sasa kuanika humu ni hapana, Hio ya kuuza mazao zipo sana now day
 
kila mtu mwizi wa mawazo ya mwenzake.nilishalia sana na hayo.
usijisumbue humu
Tusikate tamaa ni muhimu kujaribu tena na tena mpaka mafanikio tarajiwa yapatikane
 
Ni wazo jema kuungana na kujadili jinsi ya kubuni na kutekeleza mawazo chanya, na isiwe wana it tu.

Tunaweza fanya mambo mengi, maana humu Kuna watu wenye ujuzi, mawazo na nguvu ya utekelezaji.

Vitu Kama kilimo(morogoro,mbeya au njombe),viwanda vidogo -hata kwa mtaji wa 3m tunafanya, ununuaji na uuzaji wa mazao- ndani na nje ya nchi. Mshana Jr, CHASHA FARMING
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] nitatoa majumuisho mwisho wa mwezi
 
Niseme tu "Najivunia JF i don't regret to be here. Mazuri ni menge tena tukiungana naamini tutafika mbali sana, nduguzangu hebu tujitahidi kuonesha ukomavu wa bongo zetu. mizaha na kejeli za Facebook tuachie watoto wa shule waendelee nazo hukooo".
Naamini pamoja tunaweza🙏🙏.
 
Saf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…