Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Mshana embu anzisha Uzi uone watu wenye washushe mamba YaoHivi hatuwezi kukutana na kutengeneza kitu cha pamoja? Maana penye wengi pana mengi
Nawasilisha
Solution is needed to empower farmers.[emoji818][emoji817]View attachment 2505117
"Madalali ni watu waliosahaulika na serikali".
Inabd tutangaze vita vya kimapinguzi kuwaondoa madalali kwa kutumia technology, kwasababu ni watu wanaosababisha bei ya mazao kupanda masokoni.
Ukimsikiliza Mrisho Gambo na huyu mbunge utaelewa kwann madalali sio watu wa kuwabeza inabd ichukuliwe hatua ya haraka kuwakabili bila kudelay maana watazidi kupandisha bei ya mazao nchi nzima .
Kinachoumiza zaidi hawalipi kodi na wala hawatambulik na serikali. Hapa ndio idea ya p2p marketplace for farmers comes in.
Kama watz tungekuwa na umoja wa kudhibiti hichi kitu cha madalali tungeweza ku rise fund ili mfumo utengenezwa ili kupunguza mlipuko wa bei kwenye mazao ya chakula kama mchele, maharage na mahindi.
Tuwe wazalendo kusapot vitu kama hivi ili kupunguza ukali wa maisha kwenye upande wa msosi.
Binafsi madalali nawachukia kwasababu hawalipi kodi na wanatoza pesa ndefu kwenye vitu muhimu.
Ku solve hili tatizo inahitaji technology.
Au kama serikali inataka kusolve hili tatizo inabd ifanye kama ilivyofanya kwenye makapuni ya mabasi, ikimaliza hili idil pia na nyumba za kupangisha.
Uzalendo uhusike kwenye maslai mapana ya taifa ili kupunguza ukali wa maisha.
App ya kilimo ni muhimu sana ili kupunguza ukandamizwaji wa mkulima na mazao yao. Hivi kweli kulima ulime wewe bei upangiwe na mtu ata kodi alipi.
It's painful [emoji26].
Solution is needed to empower farmers.
Mrejesho
Tulifanikiwa kuunda kundi la watu 16 lakini kuna mmoja akaleft tukabaki 15
Tumejalidiana mengi na kwa ufupi mada zilizotawala kwa mfuatano wa namba ni
1. Kilimo kimejadiliwa sana
2. Delivery means
3. Application ya kutrack simu zilizopotea
4. Application ya kuweka hakiba kwa kudunduliza
5. Elimu.. Masomo mtandaoni nknk
Kati ya hao 15, kumi walikuwa wasomaji zaidi na watano ndio walikuwa wachangiaji wakuu na walionesha commitment kwenye mijadala..
Majadiliano yanafungwa kesho na kuingia hatua ya tatu ya kufanya kwa vitendo.. Nitarejea na mrejesho mpya Jumamosi ijayo.. Asanteni sana
Hii tutaongea Jumatatu[emoji1545]Kwenye namba 2. Unaweza kuboresha zaidi kwa kuwa winga wa bidhaa za kkoo kwa kufanya negotiation ya bei na wholesales na kuweka kwenye app yako. How?
Unatengeneza app ambayo itaruhusu wafanyabiashara wa mkoani ku request bidhaa ambayo umeshaweka kwenye app ambao inapunguzo la bei.
Mfano unaweka jeans size 32, idadi : 1k, price: 11k, transport cost : 5k.
Jeans unanunua kwa wholesale 10k, buku lako, kwenye usafiri inabd uongee nae mapema au ufanye partnership na kampini moja ya mizigo achana na mabasi miyeyusho mizigo inapotea sana.
Unatafuta biadhaa pendwa za wanawake kama vitenge , nguo , viatu.
Idadi unahikisha ni 1000, kwa style hii hakuna mfanyabiashara atagoma koz anapunguza gharama alafu faida ni kubwa sana.
Jeans mkoani 22k hadi 25k, vitenge mkoani ni 30k(Dodoma price , duanas).
Kama unahijua vizuri kkoo nadhan hii ni fursa tamu sana kozi ni rahisi ku implement na wateja wake ni unlimited.
Cha msingi hapo ni kuwa registered(TIN & LESENI). Malipo yawe automatic ili watu wasiwe na hofu na wewe, watu wakiona tigopesa, mpesa na airtel money interface kwenye app. Makampuni ya simu hayafanyi kazi na individuals bali kampuni ambayo iko registered.
Mfumo huu utaenda kusaidia wafanyabiashara wadogo kuwa magiant kwa haraka zaidi, kozi ni rahisi sana kukuza mtaji.
"USER GROUP PURCHASING HELPS TO GROW SALES AND REDUCE COSTS".
See you at the TOP [emoji117]
🤣🤣🤣🤣🤣Hii tutaongea Jumatatu[emoji1545]
Deadline ya ku analyize idea ijulikane maana idea ni mingi sana mkubwa.Mipango mingi muda hautoshi
Kuna tigopesa, mpesa, airtel money, halopesa na tpesa. Wanatoa API ya malipo smoothly ni vile watu hawana vigezo vya kupewa API yaan wengi wenye ecommerce hawako registered. Yaan hawana TIN na Leseni.Nawapa wazo mlifanyie kazi and you will be billionares....alafu mnipe 2% ya kila mapato ya mwezi/mwaka.
Since watanzania wengi wameanzisha online businesses na inaonekana kupamba moto kweli kweli. Ila changamoto wanazopata ni issue ya malipo,kama mjuavyo watz wengi sio waaminifu. Ndio maana kuna ile hoja kwamba lipia kwanza au mtume MTU wako wa karibu. Biashara inaanza kufia hapa kwa hoja zifuatazo.
1. Aliyeko mikoani au mbali haamini akituma hela yake itakuwa salama na atapokea mzigo wake alioutaka bila shida.
2. Sio wote wenye uhitaji wana ndugu dar au sehemu nyingine.
3. Mwenye mzigo nae haamini kuwa akituma mzigo bila kulipwa atapata hela yake baada ya mzigo kupokelewa.
Therefore IT,s watz....tengenezeni app ambayo itatumika kama third party kwenye online payments kwa hapa Tanzania ili kurahisisha biashara za mtandaoni. Iwe mfano kama PayPal,google pay na zingine. Hii itakuza sana hii sekta ambayo inaonekana kutokuwa na uaminifu ndani yake.
asante.
Zinaitwa Escrow account kitalamuNawapa wazo mlifanyie kazi and you will be billionares....alafu mnipe 2% ya kila mapato ya mwezi/mwaka.
Since watanzania wengi wameanzisha online businesses na inaonekana kupamba moto kweli kweli. Ila changamoto wanazopata ni issue ya malipo,kama mjuavyo watz wengi sio waaminifu. Ndio maana kuna ile hoja kwamba lipia kwanza au mtume MTU wako wa karibu. Biashara inaanza kufia hapa kwa hoja zifuatazo.
1. Aliyeko mikoani au mbali haamini akituma hela yake itakuwa salama na atapokea mzigo wake alioutaka bila shida.
2. Sio wote wenye uhitaji wana ndugu dar au sehemu nyingine.
3. Mwenye mzigo nae haamini kuwa akituma mzigo bila kulipwa atapata hela yake baada ya mzigo kupokelewa.
Therefore IT,s watz....tengenezeni app ambayo itatumika kama third party kwenye online payments kwa hapa Tanzania ili kurahisisha biashara za mtandaoni. Iwe mfano kama PayPal,google pay na zingine. Hii itakuza sana hii sekta ambayo inaonekana kutokuwa na uaminifu ndani yake.
asante.
Kama ujuavyo watanzania ni wavivu kufuatilia....iwepo app ambayo ni user friendly baina ya muuzaji na mnunuaji. Kila MTU afeel that safety ya Mali yake.Kuna tigopesa, mpesa, airtel money, halopesa na tpesa. Wanatoa API ya malipo smoothly ni vile watu hawana vigezo vya kupewa API yaan wengi wenye ecommerce hawako registered. Yaan hawana TIN na Leseni.
Ova
P2P with escrow systemKama ujuavyo watanzania ni wavivu kufuatilia....iwepo app ambayo ni user friendly baina ya muuzaji na mnunuaji. Kila MTU afeel that safety ya Mali yake.
Hongera mkuu kwa wazo lako embu jaribu kulidadavua kidogo,Kuna jambo lilikuwa linaniumiza kwasababu nipo kwenye idara ya afya, lengo la serikali ni kupunguza vifo vya watoto plus wajawazito lakini ukosefu wa vipimo hasa vijini na hata kama vipo either havifanyi kazi kwa wakati hivyo basi
1. Wenye uwezo wa mtaji waanzishe maabara inayotembea ambayo inaweza kuwahudumia wajawazito na kupunguza baadhi ya vifo hasa vinavyohusiha complications zitokanazo na ujauzito na magonjwa mbalimbali....
Sekta ya Afya still inafursa kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app