Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Kuna jambo lilikuwa linaniumiza kwasababu nipo kwenye idara ya afya, lengo la serikali ni kupunguza vifo vya watoto plus wajawazito lakini ukosefu wa vipimo hasa vijini na hata kama vipo either havifanyi kazi kwa wakati hivyo basi
1. Wenye uwezo wa mtaji waanzishe maabara inayotembea ambayo inaweza kuwahudumia wajawazito na kupunguza baadhi ya vifo hasa vinavyohusiha complications zitokanazo na ujauzito na magonjwa mbalimbali....
Sekta ya Afya still inafursa kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app