Wazo bunifu: Ma IT wa JF

Wazo bunifu: Ma IT wa JF

Ile Hustle fund ya Ruto nilioba hadi Master Card Foundation wanataka kuwekeza pale kusaidia ule mfumo.

Ni kitu cha kujivunia kwamba Raia Wa kenya wanakopa Online na kurudisha na uki default hutakaa upate mkopo kokote kule wala huduma.
 
Local Airbnb inawezekana sana, na shida kubwa kwa sasa ni Serikali kushindwa kabida kumaliza tatizo la vitambulisho ya Taifa.

Kenya mfano kuna ile mikopo ya Hustle ilio zinduliwa na Ruto, ile mikopo inatolewa inline na hadi sasa raia walisha kopa Billion kama 280 za kitanania.

Sasa Tanzania hatuwezi kwa sababu mifumo bado kabisa haijawa centrlized, Vitambulisho vya Taifa vinaimbwa miaka na miaka.

Unaenda Taasisi za Serikali still bado unaombwa kitambulisho wakati wao wabapaswa kuwa conected na kuwa na detail zote.
Kuna kipindi nilikuwa nafuatilia leseni manispaa yaan pale Ilala, nimetoka TRA nikaambiwa niende jiji, kwenda manispaa napewa tena form ya kujaza. Ikabd nimuulize why najaza tena taarifa zangu wakati mtu ni yule yule kwanini kusingekuwa na notification kutoka TRA kuna mtu anataka leseni nyingi ni ku confirm nakunipa leseni maana mtu ni yule yule kwann anaonekana uku na kule wakati nying ni wamoja. Duplicate data, kwa sasa serikali imekuwa inatumia NIDA ID. Wange centralize system kwa kutimia NIDA, ukienda brela the sama apply kila sehem unaanza upya kujaza form.

Serikali inabid upgrade system kwa kuzifanya ziwe centralize, kupunguza data kujirudia.
 
Kuna baadhi ya Platform zipo sema hazina nguvu kivile au wenye nazao hawa zipromote hasa hizi za kama amazon za kuuza bidhaa online,

Sasa asilimia 100 ya hizi plat form zina lack trust sasa tukiweza kuja na na mfumo wa Escrow kama ilivyo alibaba itakuwa vyema sana.
Nyingi hazina mifumo ya malipo, interface ya site zinatia mashaka kwa watumiaji ila uki come up na escrow system na interface ambayo watumiaji hawatababaika. Pesa inakufuata bro. Amin
 
Hiyo idea ya platform ya kupangisha nyumba, uwaga nahitamani sana kwasababu madalali nawachukia sana koz wanachukua pesa nyingi sana , ukitengeneza app ambayo mteja unalipia moja kwa moja kodi kwenye app pamoja na pesa ya udalali ya 3% ya miezi anayopangisha, madalali wanakwenda kulala njaa 🤣🤣🤣
 
Hiyo idea ya platform ya kupangisha nyumba, uwaga nahitamani sana kwasababu madalali nawachukia sana koz wanachukua pesa nyingi sana , ukitengeneza app ambayo mteja unalipia moja kwa moja kodi kwenye app pamoja na pesa ya udalali ya 3% ya miezi anayopangisha, madalali wanakwenda kulala njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natamani tuikamilishe hata mwezi huu
 
Nyingi hazina mifumo ya malipo, interface ya site zinatia mashaka kwa watumiaji ila uki come up na escrow system na interface ambayo watumiaji hawatababaika. Pesa inakufuata bro. Amin
Lets do something
 
Hiyo idea ya platform ya kupangisha nyumba, uwaga nahitamani sana kwasababu madalali nawachukia sana koz wanachukua pesa nyingi sana , ukitengeneza app ambayo mteja unalipia moja kwa moja kodi kwenye app pamoja na pesa ya udalali ya 3% ya miezi anayopangisha, madalali wanakwenda kulala njaa 🤣🤣🤣
Hii nayo inawezekana kabisa
Madalali watakuroga 🤣🤣
 
Hiyo idea ya platform ya kupangisha nyumba, uwaga nahitamani sana kwasababu madalali nawachukia sana koz wanachukua pesa nyingi sana , ukitengeneza app ambayo mteja unalipia moja kwa moja kodi kwenye app pamoja na pesa ya udalali ya 3% ya miezi anayopangisha, madalali wanakwenda kulala njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida pia Uswahili wa hii nchi, ni mkubwa sana,
 
Kuna kipindi nilikuwa nafuatilia leseni manispaa yaan pale Ilala, nimetoka TRA nikaambiwa niende jiji, kwenda manispaa napewa tena form ya kujaza. Ikabd nimuulize why najaza tena taarifa zangu wakati mtu ni yule yule kwanini kusingekuwa na notification kutoka TRA kuna mtu anataka leseni nyingi ni ku confirm nakunipa leseni maana mtu ni yule yule kwann anaonekana uku na kule wakati nying ni wamoja. Duplicate data, kwa sasa serikali imekuwa inatumia NIDA ID. Wange centralize system kwa kutimia NIDA, ukienda brela the sama apply kila sehem unaanza upya kujaza form.

Serikali inabid upgrade system kwa kuzifanya ziwe centralize, kupunguza data kujirudia.
Haya mambo yanakwamisha vitu vingi sana
 
Labda niwape chachu ambayo inatukumba watz kwenye project , mwana 2020 nilipata partner wa 3 wote walikuwa ni wamafasia na wanawasfa kwenye chuo flan. Niliwafuta nikaongea nao kuhusu eBook ambazo watakuwa wana andika na kupakia kwenye app wanafunzi wanasoma kwa kipia kama king'amuzi cha azam(subscription business model), tukaa kikao tukaongea kama intellectual , nikawaonesha pesa ilipo kama tutafanikisha swal la eBook app na contents( 100 ebook ziwe published kwenye app ndani ya siku 30).

Nikapewa task ya kutengeneza app ya eBook ambayo inapkia pdf na ina mfumo wa subscription model payment. Nilipewa siku 30 uku wao wakiandaa contents, nilipambana kwel sio kidogo nikadesign na ku implement kile tulichokubaliana kwenye kikao.

Nikapakia playstore mzigo ukabaki kuweka contents wanafunzi waanze kulipia na kusoma, kwa wakati huo niliweka GOOGLE PAY kama njia ya malipo maana kuna tigopesa, airtel money , mpesa na credit card ndani ya Google Pay.

Imefika siku 30 jamaa hata articles 20 hajafikisha ni excuses kibao mara nacte wakuja kukagua chuo mara nilitingwa blah blah blah.

Tulifel kwasababu ya contents, wanafunzi wapo chuon kwao sio ishu tena. Nilitumia nguvu nyingi kwenye hakuna, kuwa na watu smart ambao mko committed kufanya jambo lenye kuleta pesa ni kazi ngumu sana kwa nchi yetu.

Hapa uwaga namkumbuka Raisi Magufuli alipoenda airport nakukuta scanner mbovu toka miezi mitatu , akasema "Watanzania mna dhambi gani?".

Mm mwenye najiulizaga watz tuna dhambi gani tulifanya ambayo inatutafuna kizazi na kizazi.

Mtoa mada tegemea kupata wafuasi wengi sana uko whatsapp ila mwisho wa siku tegemea kuwa disappointed.

Watz tupo vzuri sana kwenye porojo na sio kwenye vitendo, lait tungekuwa watu wa vitendo tungefika mbali sana kama taifa.

Mtoa mada inabd ujifunze kuchagua watu ambao wako committed kufanya kitu kwasababu ya maisha yao ya baadae. Yesu mwenyewe alifanya machaguzi kwa wanafunzi ambao ataambatana nao.

Usije ukamweka friend , tafuta watu ambao ni smart ambao mtafit kwenye project ambao iko mbele yenu.

Unaweza kukuta group lina watu 100 wanaotoa maon yao ni watatu daily wengine wako kimya utasema wamelazimishwa kujiunga. 🤣🤣🤣

Watz ni watu wa ajabu sana ukija kwenye upande wa whatsapp group, mara nyingi najikuta kama admin inanilazim ni left 🤣🤣🤣.

Mtoa mada nimekupa experience kidogo kuhusu wabongo kwenye mchongo wa pesa, be prepared for disappointed at the end...
 
Sio IT tuu, watu walete mawazo, ITs walifanyie kazi, watu waweke mitaji kitu kije. Mfano tengenezeni Application ya JamiiPay App. Kaeni mezani na uongozi wa JF japokuwa nasikia ni NGO. Watu watume pesa, walipe bills,transfer funds,buy goods and services,pay acoounts,track expenses l and so much more all within the app.
 
Labda niwape chachu ambayo inatukumba watz kwenye project , mwana 2020 nilipata partner wa 3 wote walikuwa ni wamafasia na wanawasfa kwenye chuo flan. Niliwafuta nikaongea nao kuhusu eBook ambazo watakuwa wana andika na kupakia kwenye app wanafunzi wanasoma kwa kipia kama king'amuzi cha azam(subscription business model), tukaa kikao tukaongea kama intellectual , nikawaonesha pesa ilipo kama tutafanikisha swal la eBook app na contents( 100 ebook ziwe published kwenye app ndani ya siku 30).

Nikapewa task ya kutengeneza app ya eBook ambayo inapkia pdf na ina mfumo wa subscription model payment. Nilipewa siku 30 uku wao wakiandaa contents, nilipambana kwel sio kidogo nikadesign na ku implement kile tulichokubaliana kwenye kikao.

Nikapakia playstore mzigo ukabaki kuweka contents wanafunzi waanze kulipia na kusoma, kwa wakati huo niliweka GOOGLE PAY kama njia ya malipo maana kuna tigopesa, airtel money , mpesa na credit card ndani ya Google Pay.

Imefika siku 30 jamaa hata articles 20 hajafikisha ni excuses kibao mara nacte wakuja kukagua chuo mara nilitingwa blah blah blah.

Tulifel kwasababu ya contents, wanafunzi wapo chuon kwao sio ishu tena. Nilitumia nguvu nyingi kwenye hakuna, kuwa na watu smart ambao mko committed kufanya jambo lenye kuleta pesa ni kazi ngumu sana kwa nchi yetu.

Hapa uwaga namkumbuka Raisi Magufuli alipoenda airport nakukuta scanner mbovu toka miezi mitatu , akasema "Watanzania mna dhambi gani?".

Mm mwenye najiulizaga watz tuna dhambi gani tulifanya ambayo inatutafuna kizazi na kizazi.

Mtoa mada tegemea kupata wafuasi wengi sana uko whatsapp ila mwisho wa siku tegemea kuwa disappointed.

Watz tupo vzuri sana kwenye porojo na sio kwenye vitendo, lait tungekuwa watu wa vitendo tungefika mbali sana kama taifa.

Mtoa mada inabd ujifunze kuchagua watu ambao wako committed kufanya kitu kwasababu ya maisha yao ya baadae. Yesu mwenyewe alifanya machaguzi kwa wanafunzi ambao ataambatana nao.

Usije ukamweka friend , tafuta watu ambao ni smart ambao mtafit kwenye project ambao iko mbele yenu.

Unaweza kukuta group lina watu 100 wanaotoa maon yao ni watatu daily wengine wako kimya utasema wamelazimishwa kujiunga. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watz ni watu wa ajabu sana ukija kwenye upande wa whatsapp group, mara nyingi najikuta kama admin inanilazim ni left [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mtoa mada nimekupa experience kidogo kuhusu wabongo kwenye mchongo wa pesa, be prepared for disappointed at the end...
Asante sana kwa muongozo huu.. Nina uzoefu hasi ambao kwakweli nisingependa niuweke wazi hapa lakini niweke wazi kwamba since then nikajifunza mengi sana.. Lakini sijakatishwa tamaa.. Mwisho wa siku tutapata timu tutakayo ambayo iko serious na iko committed kutimiza maono!
 
Asante sana kwa muongozo huu.. Nina uzoefu hasi ambao kwakweli nisingepemnda niuweke wazi hapa lakini niweke wazi kwamba since then nikajifunza mengi sana.. Lakini sijakatishwa tamaa.. Mwisho wa siku tutapata timu tutakayo ambayo iko serious na iko committed kutimiza maono!
Tawire
 
Back
Top Bottom