Wazo bunifu: Ma IT wa JF

Wazo bunifu: Ma IT wa JF

Mrejesho wa tatu
Tulifanikiwa kupigia mawazo matatu bora ambayo yangeenda hatua ya utekelezwaji na tukafanikiwa kuunda action group lenye majukumu ya kuyatekeleza hayo mawazo na kutoa mrejesho kwenye group la kwanza

Kilichopo mbele yetu sasa ni namna ya kukutana..kuna changamoto ya muda na umbali pia lakini penye nia pana njia.. Inshallah tukijaaliwa next week tutakutana

Asanteni sana[emoji1545]
 
Mrejesho wa nne
Tulifanikiwa kukutana wanne siku ya jumanne wiki iliyopita. Kuna hatua tumepiga ..nitaendelea kuwapeni mrejesho zaidi
 
Usipite Bila Kusoma Ni Muhimu.

Kutokana na gharama za mabando ya

internet kuwa kubwa, tumewaza nje ya box

na kuja na system moja matata.

Kwenye hii system tunafunga wifi router

ambazo zinakuwezesha mteja kutumia

unlimited bundle mpaka pale kifurushi chako

Kitakapoisha muda wake.

Tumefanikisha kupata leseni ndogo ya

biashara, tumefunga hii system kwa

wateja baadhi na wanafurahia hii

huduma.

Tunahitaji muwekezaji ili tuongeze wigo wa

huduma zetu, tuwafikie watu wengi zaidi kwa

maslahi mapana ya kampuni na muwekezaji.

Kwani kuna tenda zinatupita kwa kuwa

hatuna leseni ya kampuni.

Kwa maelezo zaidi kuhusu business

planning. PM au

Contact me : 0719116115
 
✔💯🤝🏿🙏🏿
 
1679754840538.png

Najitafuta kwenye mfumo wa wapangaji na madalali. Soon itakuwa online...
 
Usipite Bila Kusoma Ni Muhimu.

Kutokana na gharama za mabando ya

internet kuwa kubwa, tumewaza nje ya box

na kuja na system moja matata.

Kwenye hii system tunafunga wifi router

ambazo zinakuwezesha mteja kutumia

unlimited bundle mpaka pale kifurushi chako

Kitakapoisha muda wake.

Tumefanikisha kupata leseni ndogo ya

biashara, tumefunga hii system kwa

wateja baadhi na wanafurahia hii

huduma.

Tunahitaji muwekezaji ili tuongeze wigo wa

huduma zetu, tuwafikie watu wengi zaidi kwa

maslahi mapana ya kampuni na muwekezaji.

Kwani kuna tenda zinatupita kwa kuwa

hatuna leseni ya kampuni.

Kwa maelezo zaidi kuhusu business

planning. PM au

Contact me : 0719116115
[emoji848]kuna kampuni moja(jina kapuni) ilisajili wateja wapya hivyohivyo usemavyo cha ajabu kupita mwaka mmoja hicho kifurushi unlimited kikaisha laini ikatoka kuwa ya Contract/postpaid na kuwa Predaid napata mashaka kwenye hilo.
 
Nawapa wazo mlifanyie kazi and you will be billionares....alafu mnipe 2% ya kila mapato ya mwezi/mwaka.

Since watanzania wengi wameanzisha online businesses na inaonekana kupamba moto kweli kweli. Ila changamoto wanazopata ni issue ya malipo,kama mjuavyo watz wengi sio waaminifu. Ndio maana kuna ile hoja kwamba lipia kwanza au mtume MTU wako wa karibu. Biashara inaanza kufia hapa kwa hoja zifuatazo.
1. Aliyeko mikoani au mbali haamini akituma hela yake itakuwa salama na atapokea mzigo wake alioutaka bila shida.

2. Sio wote wenye uhitaji wana ndugu dar au sehemu nyingine.

3. Mwenye mzigo nae haamini kuwa akituma mzigo bila kulipwa atapata hela yake baada ya mzigo kupokelewa.

Therefore IT,s watz....tengenezeni app ambayo itatumika kama third party kwenye online payments kwa hapa Tanzania ili kurahisisha biashara za mtandaoni. Iwe mfano kama PayPal,google pay na zingine. Hii itakuza sana hii sekta ambayo inaonekana kutokuwa na uaminifu ndani yake.

asante.

You're spot on! Shida yetu kubwa sana hasa linapokuja suala la hela ni UAMINIFU.

Kwa kukazia tu point yako, kuna app moja namalizia kwenye NICHE fulani ambayo ina shida kubwa katika malipo lakini nimekwama. Hakuna kampuni hata moja Bongo inayotoa huduma ya Escrow. Naweza ku-integrate na PayPal au Stripe kwa Wabongo ambao wako nje ya nchi lakini kama unaishi Bongo siwezi ku-collect hela kutumia kampuni yoyote ile hata hizo za simu.

Kuna kampuni moja ya South Africa (jina kapuni) niliongea nao wakanijibu kuwa wanaweza kuwa tagged kwamba wanafanya "Money Laundering" hivyo hawawezi ku-risk leseni yao.

In short, niko njia panda. Labda nita-release app for free.

Kama kuna mtu ana mpango wa kufungua eWallet company Bongo kama PayPal au Stripe nijulishe.
 
Mimi Natamani watu wa IT tutengeneze App itakayomjulisha , Mtu kuwa Eneo alilopo Kuna fursa gani
Ambayo anaweza kufanya ili Kupata kipato halali .

Mfano...Mimi nahitaji Mtu wa kuosha gari langu ndani ya fensi naingia Katika App naweka taarifa na hiyo taarifa inamfikia mtaftaji wa hiyo kazi na malipo yanakuwa yapo ndani ya App .

Badala ya mtu kuzurula kutafta mkate wake yeye anatumia App na anasimama Katika eneo husika na anapata Kazi yake

Pia Ili kuweka usalama watumiaji wote wanabidi kuwa na vitambulisho vya Taifa ili kuondoa wizi utapeli nk

Mshana Jr naomba hili wazo uliingize katika mchakato wako , tutasaidia Sana watu Kupata mkate wa kila siku .
 
[emoji1545]Takucheki
 
Nadhani sio wote na bado kuna namna mtu anaweza kujiunga bila kujitambulisha id take ya huku
Tuweze kuvuna bando/data katika nguvu ya mbingu na ardhi softwares ambayo yaweza uzwa vizuri tu iwe kama aunti virus..once used ina expire.

Watu tuelewe kwamba kuna energy kubwa mno katika mazingira tunayoishi ni ishu ya kuivuna tu na kubadilisha kuwa umeme, ges, Data hizi hizi MB from kilobytes
 
Nimeipenda hii idea [emoji1545]
 
Back
Top Bottom