Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Mkuu sio It ila naamini Kuna ishu ya kuwa na agent muaminifu mmoja Kila mmkoa ili kuongeza uaminifu au kwa kuanzia at least kila kandaHii tutaongea Jumatatu[emoji1545]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio It ila naamini Kuna ishu ya kuwa na agent muaminifu mmoja Kila mmkoa ili kuongeza uaminifu au kwa kuanzia at least kila kandaHii tutaongea Jumatatu[emoji1545]
SahihiZinaitwa Escrow account kitalamu
✔💯🤝🏿🙏🏿Usipite Bila Kusoma Ni Muhimu.
Kutokana na gharama za mabando ya
internet kuwa kubwa, tumewaza nje ya box
na kuja na system moja matata.
Kwenye hii system tunafunga wifi router
ambazo zinakuwezesha mteja kutumia
unlimited bundle mpaka pale kifurushi chako
Kitakapoisha muda wake.
Tumefanikisha kupata leseni ndogo ya
biashara, tumefunga hii system kwa
wateja baadhi na wanafurahia hii
huduma.
Tunahitaji muwekezaji ili tuongeze wigo wa
huduma zetu, tuwafikie watu wengi zaidi kwa
maslahi mapana ya kampuni na muwekezaji.
Kwani kuna tenda zinatupita kwa kuwa
hatuna leseni ya kampuni.
Kwa maelezo zaidi kuhusu business
planning. PM au
Contact me : 0719116115
Acha uogaWengine tunaogopa utatuloga[emoji30]
🤣jukwaa la Tech la wauza simu sahivi.
Naomba specs za computer nzur ya programming tafadhar, PC yako in display inchi ngap??
[emoji848]kuna kampuni moja(jina kapuni) ilisajili wateja wapya hivyohivyo usemavyo cha ajabu kupita mwaka mmoja hicho kifurushi unlimited kikaisha laini ikatoka kuwa ya Contract/postpaid na kuwa Predaid napata mashaka kwenye hilo.Usipite Bila Kusoma Ni Muhimu.
Kutokana na gharama za mabando ya
internet kuwa kubwa, tumewaza nje ya box
na kuja na system moja matata.
Kwenye hii system tunafunga wifi router
ambazo zinakuwezesha mteja kutumia
unlimited bundle mpaka pale kifurushi chako
Kitakapoisha muda wake.
Tumefanikisha kupata leseni ndogo ya
biashara, tumefunga hii system kwa
wateja baadhi na wanafurahia hii
huduma.
Tunahitaji muwekezaji ili tuongeze wigo wa
huduma zetu, tuwafikie watu wengi zaidi kwa
maslahi mapana ya kampuni na muwekezaji.
Kwani kuna tenda zinatupita kwa kuwa
hatuna leseni ya kampuni.
Kwa maelezo zaidi kuhusu business
planning. PM au
Contact me : 0719116115
13inch. Pc nzur bro ni xps ukipata hiyo kitu umepata kitu chema.Naomba specs za computer nzur ya programming tafadhar, PC yako in display inchi ngap??
Nawapa wazo mlifanyie kazi and you will be billionares....alafu mnipe 2% ya kila mapato ya mwezi/mwaka.
Since watanzania wengi wameanzisha online businesses na inaonekana kupamba moto kweli kweli. Ila changamoto wanazopata ni issue ya malipo,kama mjuavyo watz wengi sio waaminifu. Ndio maana kuna ile hoja kwamba lipia kwanza au mtume MTU wako wa karibu. Biashara inaanza kufia hapa kwa hoja zifuatazo.
1. Aliyeko mikoani au mbali haamini akituma hela yake itakuwa salama na atapokea mzigo wake alioutaka bila shida.
2. Sio wote wenye uhitaji wana ndugu dar au sehemu nyingine.
3. Mwenye mzigo nae haamini kuwa akituma mzigo bila kulipwa atapata hela yake baada ya mzigo kupokelewa.
Therefore IT,s watz....tengenezeni app ambayo itatumika kama third party kwenye online payments kwa hapa Tanzania ili kurahisisha biashara za mtandaoni. Iwe mfano kama PayPal,google pay na zingine. Hii itakuza sana hii sekta ambayo inaonekana kutokuwa na uaminifu ndani yake.
asante.
Hongera ndugu. Penye nia pana njia.Mrejesho wa nne
Tulifanikiwa kukutana wanne siku ya jumanne wiki iliyopita. Kuna hatua tumepiga ..nitaendelea kuwapeni mrejesho zaidi
[emoji1545]TakuchekiMimi Natamani watu wa IT tutengeneze App itakayomjulisha , Mtu kuwa Eneo alilopo Kuna fursa gani
Ambayo anaweza kufanya ili Kupata kipato halali .
Mfano...Mimi nahitaji Mtu wa kuosha gari langu ndani ya fensi naingia Katika App naweka taarifa na hiyo taarifa inamfikia mtaftaji wa hiyo kazi na malipo yanakuwa yapo ndani ya App .
Badala ya mtu kuzurula kutafta mkate wake yeye anatumia App na anasimama Katika eneo husika na anapata Kazi yake
Pia Ili kuweka usalama watumiaji wote wanabidi kuwa na vitambulisho vya Taifa ili kuondoa wizi utapeli nk
Mshana Jr naomba hili wazo uliingize katika mchakato wako , tutasaidia Sana watu Kupata mkate wa kila siku .
Tuweze kuvuna bando/data katika nguvu ya mbingu na ardhi softwares ambayo yaweza uzwa vizuri tu iwe kama aunti virus..once used ina expire.Nadhani sio wote na bado kuna namna mtu anaweza kujiunga bila kujitambulisha id take ya huku
Nimeipenda hii idea [emoji1545]Tuweze kuvuna bando/data katika nguvu ya mbingu na ardhi softwares ambayo yaweza uzwa vizuri tu iwe kama aunti virus..once used ina expire.
Watu tuelewe kwamba kuna energy kubwa mno katika mazingira tunayoishi ni ishu ya kuivuna tu na kubadilisha kuwa umeme, ges, Data hizi hizi MB from kilobytes