Wazo Fyatu: Serikali Ikubali kula Hasara

Wazo Fyatu: Serikali Ikubali kula Hasara

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Tuseme ukweli tu...

Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.

Watu watacheka lakini wataheshimu..
 
Tena ile hasara hata bila kitafunwa
Ujue inatuendesha hovyo
 
Tusene ukweli tu...hadi pale serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesiyamboweifutwe, #serikaliilehasara. Watu watacheka lakini wataheshimu..
Tatizo gaidi akitetewa na magaidi wenzake inaleta shida

USSR
 
Mwigulu na Siro ndio washauri wa bibi Hangaya unategemea nini hapo? Ni kutekwa, kuteswa, kuuliwa na kusingiziwa kesi.
Fikiria watu wamekaa Mbweni Polisi mwaka mzima bila kupelekwa mahakamani.
Huu ni USHETANI wa hali ya juu.
 
Tusene ukweli tu...hadi pale serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesiyamboweifutwe, #serikaliilehasara. Watu watacheka lakini wataheshimu..
Hili kweli wazo Fyatu.😅😅
 
Back
Top Bottom