Wazo Fyatu: Serikali Ikubali kula Hasara

Wazo Fyatu: Serikali Ikubali kula Hasara

Tuseme ukweli tu...

Hadi pale serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #serikali ile hasara.

Watu watacheka lakini wataheshimu..
Mama ndio aliyeharibu....

Kwenye interview aliposema wana ushahidi wa kutosha aliwaingiza wenzake kwenye mkenge mkubwa. Wanafutaje kesi? Vipi credibility ya ofisi ya Rais? Yaani wanafuta kesi ambayo Rais amesema wana ushahidi wa kutosha!
 
Tuseme ukweli tu...

Hadi pale serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #serikali ile hasara.

Watu watacheka lakini wataheshimu..

Kesi ya Mbowe haiwezi kufutwa kamwe.Mpaka sasa Jamhuri ina ushaidi mzito (in Sirro voice) dhidi ya Mbowe na genge lake la ugaidi.

Jamhuri ina mashaidi 24 ,shangazi kaja na Jaji Mkakati.

Jaji Mustafa tumemwondoa kwasababu kapoteza mwelekeo Mbowe lazima afungwe makomando lazima tuwafunge.
 
Hadi kieleweke, nyie mnajifanya hodari wa kubambikia watu kesi, Haki huwa ina tabia ya kuchelewa panapo dhulma!
 
Mkuu Mzee mwenzangu Mzee Mwanakijiji, kwanza asante kwa kuileta hoja hii fikirishi. Pili naunga mkono hoja, ila naomba kuuliza maswali machache.
  1. Neno "hadi pale serikali itakuwa na mfumo", does this mean kwa sasa serikali yetu haina mfumo?.
  2. Neno " Hadi pale serikali yetu itakapokuwa na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza na kuleta mashitaka yanayoweza kusimama mahakamani ", does this means kwa sasa serikali haina hivyo vyombo vizuri vinavyoweza kufanya uchunguzi, kupeleleza na kusimama mahakamani hatuna?.
  3. Huu ushauri wako " ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda" jee ni ushauri wako, au umemuiga Mama Sa100?.
Asante.
P
Paschal, kwa sasa polisi wetu wanategemea mbinu moja kubwa kupata taarifa kutoka kwa waharifu:TORTURE. Ndiyo maana wanakaa na waharifu muda mrefu vituoni kinyume na sheria bila kuwafikisha mahakamani.
Polisi hawajapata uwezo mzuri wa kupeleleza kisayansi.
 
Kesi ya Mbowe haiwezi kufutwa kamwe.Mpaka sasa Jamhuri ina ushaidi mzito (in Sirro voice) dhidi ya Mbowe na genge lake la ugaidi.

Jamhuri ina mashaidi 24 ,shangazi kaja na Jaji Mkakati.

Jaji Mustafa tumemwondoa kwasababu kapoteza mwelekeo Mbowe lazima afungwe makomando lazima tuwafunge.
Mkuu mbona kama unalazimisha vile?

Yaani unamaanisha wafungwe tu, yaani unashauri uonevu dhidi ya binadamu mwenzio. Ni tabia za manyani porini na si ustarabu wa binadamu!

Mahakama ni chombi Cha kutoa, na inabidi kionekane hivyo, haki sio kuumiza watu!
 
Hii ni sababu tuna kasoro kwenye mfumo wetu wa sheria, hadi mtu anakamatwa na kuwekwa lupango kunakuwa hakuna uchunguzi uliofanywa kuthibitisha kwa hakika bila shaka kwamba mtuhumiwa ni mkosaji...

Ndio mambo ya kesi za kina Ruge na wengineo kuachiwa sababu serikali imekosa ushahidi usio na shaka...
 
Ni hivi. Ushahdi/upelelezi ukamilike, ndio mtu akamatwe. Hii ya kukaa mahabusu miaka huku upelelezi unaendelea inaumiza watu sana!
 
Tuseme ukweli tu...

Hadi pale serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #serikali ile hasara.

Watu watacheka lakini wataheshimu..
Samia hassan suluhu atadharaulika sana

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nanwombea IGP Siro Mungu ampe Hekima na busara awe anaingea maneno yenye hekima hii ni Dunia Kuna Leo na kesho.Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo haiwezekani. Sirro aliteuliwa kwa ajili ya kuuwa na kutesa watu.
Alipoteuliwa tu TL alishambuliwa kama ambazo mchana kweupe.
Unaikumbuka ile ," I wish I could be IGP"
Raisi miovu yule
 
Back
Top Bottom