Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Tatizo gaidi akitetewa na magaidi wenzake inaleta shidaTusene ukweli tu...hadi pale serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesiyamboweifutwe, #serikaliilehasara. Watu watacheka lakini wataheshimu..
Kutafuta uteuzi kwa mbinu za kijima huwa ni chanzo cha msongo wa mawazo.Tatizo gaidi akitetewa na magaidi wenzake inaleta shida
USSR
Ulichoandika siyo Kiingereza bali ni Chongereza!kesi ifutwe kwa saabu ya kelele za mtandaoni?
I we running the Government kwa kelele za mtandaoni?
Umri unazidi kusonga. Grow up. Acha kushinda mitandoani kugombana na maandishi ujenge future yako.kesi ifutwe kwa saabu ya kelele za mtandaoni?
I we running the Government kwa kelele za mtandaoni?
mchawi wewe, iko wazi mawakili wa serikali ni dhaifu..........sio rahisi kwa detain mtu bila sababuUmegundua nini kwenye kesi ya Mbowe?Kuwa muwazi tu!
Siwezi kuacha kusema ukweliUmri unazidi kusonga. Grow up. Acha kushinda mitandoani kugombana na maandishi ujenge future yako.
Hili kweli wazo Fyatu.😅😅Tusene ukweli tu...hadi pale serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesiyamboweifutwe, #serikaliilehasara. Watu watacheka lakini wataheshimu..
Mwiguli is bad guyMwigulu na Siro ndio washauri wa bibi Hangaya unategemea nini hapo? Ni kutekwa, kuteswa, kuuliwa na kusingiziwa kesi.
Fikiria watu wamekaa Mbweni Polisi mwaka mzima bila kupelekwa mahakamani.
Huu ni USHETANI wa hali ya juu.
Hahahaa mkuu umenikumbushe enzi hizo kule kijijini kwetu wakati tunasoma Midro( middle school)Ulichoandika siyo Kiingereza bali ni Chongereza!
Ukweli upi?Siwezi kuacha kusema ukweli