wanatupa hasara wananchi kwa kuchezea pesa kwa makusudi....mzigo mkubwa wa tozo uende kwa mpiga kuraTuseme ukweli tu...
Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.
Watu watacheka lakini wataheshimu..
Hilo haiwezekani. Sirro aliteuliwa kwa ajili ya kuuwa na kutesa watu.
Alipoteuliwa tu TL alishambuliwa kama ambazo mchana kweupe.
Unaikumbuka ile ," I wish I could be IGP"
Raisi miovu yule
Kwakweli hakuwa na kipyawa ovyo ovyo alishafika mahali alikwama akabaki ukali kuua,kuteka,kutisha.....Mungu atuondolee haraka hawa
Mzee ... iache mahakama ifanye kazi yake.Tuseme ukweli tu...
Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.
Watu watacheka lakini wataheshimu..
Muombe radhi mzee Mwanakijiji.Taratibu ushaanza kurejesha akili zako!
Lakini kwanini mtu uwe ndumilakuwili??
Siwezi kumuomba radhi mtu huyo! Labda aanze yeye kutuomba radhi!Muombe radhi mzee Mwanakijiji.
Naomba tafasiri ya kiswahili ya sentesi yako ya mwisho.kesi ifutwe kwa saabu ya kelele za mtandaoni?
I we running the Government kwa kelele za mtandaoni?
Ikubali isikubali imeshakula lossTuseme ukweli tu...
Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.
Watu watacheka lakini wataheshimu..
Chongereza cha Ugoko😅😅😅Yaani nilishangaa sana, pamoja na kwamba na mimi sijui sana lakini sijawahi kusikia Kiingereza cha "I we running the government"
Na walafiHatuna serikali tuna magenge ya wahuni tu ndio wanaongoza Nchi!!
Huyo hajui kwamba uko kazini?Siwezi kuacha kusema ukweli
Watch your English please! Unawaangusha walimu wako wa SoMo la kiingereza! Ikikupendeza tumia kiswahili TU kuwasiliana!kesi ifutwe kwa saabu ya kelele za mtandaoni?
I we running the Government kwa kelele za mtandaoni?
Kingereza nilikuwa napata 96+ nikitokea kidumu fagio.Watch your English please! Unawaangusha walimu wako wa SoMo la kiingereza! Ikikupendeza tumia kiswahili TU kuwasiliana!
Ati 96+ Kisha unaandika broken English vile! Haiyumkini ulisoma shule moja na magu! Unajisikiaje Sasa kipanga wa kidumu, fagio, jembe na Kuni za mwalimu?Kingereza nilikuwa napata 96+ nikitokea kidumu fagio.
Naamini wewe ni zao la shule ya kata.
Akiunga mkono juhudi ndio ugaidi utaisha?,, Na sifa kedekede!!Tatizo gaidi akitetewa na magaidi wenzake inaleta shida
USSR
Polisi wana utaalam wa kuchunguza kwa kuning'iniza watuhumiwa popo style.Tuseme ukweli tu...
Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.
Watu watacheka lakini wataheshimu..
"Kumbe kizingu ni chepesi Sana"?kesi ifutwe kwa saabu ya kelele za mtandaoni?
I we running the Government kwa kelele za mtandaoni?
sana"Kumbe kizingu ni chepesi Sana"?
Mwisho wa siku watu wanaonekana hawako professionalPolisi wana utaalam wa kuchunguza kwa kuning'iniza watuhumiwa popo style.
Mafunzo wanapata CCP Moshi.