Wazo gani la kwanza ukujia ukikuta mtu au familia imefuga ndege aina ya 'njiwa'?

Wazo gani la kwanza ukujia ukikuta mtu au familia imefuga ndege aina ya 'njiwa'?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Si watu wengi au familia nyingi ufuga hawa ndege jamii ya "njiwa".

Mimi binafsi nakuwaga na mawazo tofauti sidhani kama ni mimi peke yangu au na wengine?
 
Duh kumbe kuna hayo. Mi nilifuga njiwa nikiwa primary lakini ilikuwa ni ka trend tu mtaani nilipokulia.
 
Sijawahi ona mfuga njiwa tajiri, wengi ni maskini, washirikina na walioacha familia zao ziendeshwe na watoto wao wahuni wahuni. La sivyo basi kuna kakijana kamebalehe so kanafuga kama mkumbo tu.
 
Sijawahi ona mfuga njiwa tajiri, wengi ni maskini, washirikina na walioacha familia zao ziendeshwe na watoto wao wahuni wahuni. La sivyo basi kuna kakijana kamebalehe so kanafuga kama mkumbo tu.
SIYO!
 
Back
Top Bottom