Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Wengi ni Wachawi! Washirikina! Wafuga majini!Sijawahi ona mfuga njiwa tajiri, wengi ni maskini, washirikina na walioacha familia zao ziendeshwe na watoto wao wahuni wahuni. La sivyo basi kuna kakijana kamebalehe so kanafuga kama mkumbo tu.
💯💯💯Wengi ni Wachawi! Washirikina! Wafuga majini!
SIYO!Sijawahi ona mfuga njiwa tajiri, wengi ni maskini, washirikina na walioacha familia zao ziendeshwe na watoto wao wahuni wahuni. La sivyo basi kuna kakijana kamebalehe so kanafuga kama mkumbo tu.