feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Bashe amefuata upepo yaani nini watu wanasema ndo amefuata ila kiukweli Watu weupe hawana mpango wa kutumaliza kama tunavyofikiria ili kubalance Dunia. Na kama wakitaka hivyo mbona simple wanatengeneza kirusi hatari wanakitupa Afrika chap tu tumeisha maana 90% ya maisha yetu tunawategemea wai.Kuna watu akili zao wanazijua wenyewe.
Madawa mengi ya Cancer, Kifua kikuu na chanjo zote zinatoka hukp. Hizo ndiyo njia rahisi kudhuru watu .... lakini watu wanakubali ili wapone. Kwenye chakula wanajifanya wazalendo wakati watoto wa watu wanakufa na njaa ... inaelekea kuna watu hawajui hali ya utapia mlo kwa watoto wa Tanzania. The statistics are not good.
For the first time nimemdharau Bashe kwa kupoliticize hii issue.
Magari
Vifaa vya ujenzi
Madawa
Pesa
Mawasiliano
Umeme vyote ni wao .