Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

UWEZO WAKO WA AKILI NI MDOGO SANA ...MAANA UMESHINDWA KUJUA KUWA VVU PIA NI PROJECT YA MABEBERU TENA INA FAIDA KUBWA SANA KWENYE CHUMI ZAO KUMBUKA KUWA UKIMWI AUJAWAI KUMUUA MTU YOYOTE BALI UNACHOCHEA NA KUWEZESHA MAGONJWA MENGINE KUUA MTU NA HAYO MAGONJWA MENGINE KUWA NA NGUVU SANA NA KUSABABISHA MADAWA YA NCHI ZA MABEBERU NA VIFAA TIBA KUWA BIASHARA YENYE FEDHA NYINGI
Hongera kwa kutambua hilo. Wewe kama wewe umefanya nini kugundua tiba ya VVU?
 
Mzee Mwanakijiji

Nadhani tumedandia treni kwa mbele! Tunawalaumu hawa wanaokataa mchele leo, kwani wameanza wao?
Tunawalaumu wanaokataa mchele na kusahahu waliowafundisha kuchukia Marekani na Wazungu!!!

Miaka 4 iliyopita tulikuwa na janga la COVID. Moja ya hatua za kujikinga ilikuwa kuvaa ''masks' au barakoa

Rais wa nchi alisimama na kusema zimewekewa vitu tena akitoa ushahidi kwamba yeye anafahamu siri za nchi hii.
Akapiga marufuku barakoa na kwa aibu akaagiza zitengenezwe za hovyo hapa Tanzania.
Rais huyo huyo akapima Mafenesi na kukosoa vifaa vya Wazungu huku akiwa na kifaa cha wazungu mwilini

Swali unalouliza MM na wengine kama Tindo niliuliza miaka 4 iliyopita. Ikiwa Wazungu wanataka kutua kwanini wasubiri kutumia Barakoa na si dawa wanazoleta?
Tukauliza kwanini viyoyozi na Magari yanayotumiwa yawe salama lakini tuamini Barakoa zimeletwa kutumaliza!

Leo tunawalaumu hawa wanaokataa chakula kwasababu zisizo na ithibati tukisahau kwamba mbegu ya mawazo hayo ilipandwa na Rais wa Tanzania miaka 4 iliyopita !

JokaKuu
 
Saa nyingine huwa hata naona aibu baadhi ya mambo, unagomea mchele tani kadhaa. Kisha watoto wa nchi nzima huko mashuleni na hospital wanapewa chanjo kwa hisani uliyekataa mchele wake?
Hahahhaha si kama JPM anawaambia chanzo msitumie coz wazungu hawatupendi.... alafu wakati huo huo yeyr alitumia pacemaker iliyotengenezwa na mzungu huyo huyo wa chanjo!! Sasa sijui alikua anakwepa nini hapo wakati ni yaleyale?
 
Hiyo takwimu iko wapi??

Tanzania inaingiza vifaa vingi kutoka
China
India
Pakistan
UAE
Kenya

HUO UTUMWA wa kifikra nani kakuroga
We naye empty kabisa, viwanda kuwepo China hakufanyi bidhaa kuwa ya China. IPhone ni ya mmarekani ila inakua assembled na exported kutokea china. Same to madawa yanawekwa viwanda china or India sababu ya cheap labor na investor incentives. Hata hiyo UAE haina bidhaa zake nyingi ni za kutoka China, EU etc yenyewe inakua kama hub tu ya kuuza na kununua bidhaa za masoko ya kimataifa.

Kama huna elimu ya international trade usichangie, humu sio FB.
 
Miye naongea facts, wewe unaongea blah blah za vijiweni.
Bei za madawa zipo juu US kwasababu ya matangazo na u-hovyo wa for profit healthcare system. Huo ni ukweli.
Dawa kwa asilimia 90 zinazotumika US zinatengenezwa India, uchina, Israel, Germany na nchi nyingine za Ulaya. Huo ndiyo ukweli.
Makampuni makubwa kumi ya pharmaceutical mengi yanatoka marekani
Na marekani ndo wana soko la madawa lenye faida kubwa na maradufu kuliko nchi yeyote duniani
Narudia acha uzwazwa
 
We naye empty kabisa, viwanda kuwepo China hakufanyi bidhaa kuwa ya China. IPhone ni ya mmarekani ila inakua assembled na exported kutokea china. Same to madawa yanawekwa viwanda china or India sababu ya cheap labor na investor incentives. Hata hiyo UAE haina bidhaa zake nyingi ni za kutoka China, EU etc yenyewe inakua kama hub tu ya kuuza na kununua bidhaa za masoko ya kimataifa.

Kama huna elimu ya international trade usichangie, humu sio FB.
YNIM
 
Lazima utakua ni pisi kali mi sijaona mwanaume unakaa kusifia kupewa vya bure!!!
Wanaume wa dar hawa😂😂😂wenzio wanaomba teckologia we unataka chakula asieee
Sasa bajeti yetu tu wanatuchangia halafu mnaleta porojo wenye mchele, bure kabisa nyie watu, yaani mwanasiasa anawa hamisha kwenye reli kidogo tu mnajaa jumla.
 
Utegemezi kitu kibaya...haijalishi una kiwango gani cha kufanya kwa mtazamo wa fikra tunduizi...mbele ya utegemezi kulegea kupo sebuleni!!
===
Nikama inatafutwa justification ya kuhakikisha Tanzania inaingia barabara kwenye "Monyulowe doktlini". Tujipambambanie Tujitegemee vinginevyo wenye fikra tunduizi hawataki kujihangaisha na "fyuucha jeneleisheni" ni kama wanasema..."mtajiju".

Utegemezi ni mbaya kwa sababu unajenga ubinafsi wa kupindukia!!
 
Hao wazungu hawana upendo huo wa dhati kwetu.

Hilo ndio tatizo kubwa na la msingi haswa.
 
Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali.

Madawa na tiba hizi zimetoka kwa msaada wa watu wa Marekani (na mimi mmojawapo). Ingekuwa wanataka kutupunguza kwa haraka hakuna pazuri kama pale tupapendapo!! Jinsi masikini wetu wanavyopenda kula na kulana, kulala na kulaliana, kutafuna na kutafuniana; maelfu kama siyo mamilioni ya maskini Hawa wangekuwa wamepumzika ahera madukani siku nyingi.

Tuache ufyatu!! Waacheni wazazi au jamii wanaotaka watoto wao wale chakula cha msaada. Tulikula sisi miaka ya themanini na tunashukuru. Wazazi au jamii wasiotaka kula wasilazimishwe. Wazazi wawakataze watoto kula chakula Nicholas. Lakini kuwanyima watoto na wazazi wengine wasio na tatizo na vyakula hivi ni ufyatu . Tukifika mahali kweli tu tunajitegemea kwa chakula tunaweza kukataa kwa sababu ya kutokujiabisha. Sasa hivi msemo wa wahenga "mwenye njaa hana haramu" una ukweli wake.

Nashauri serikali iache hamaki, itulie na kufikiria tena a more balanced approach. Tusiwe wote hamnazo.
Ninachokicchukia na kisichopendeza Kwa Tanzania Kwa Sasa kuwa na waongo wengi kwenye mitandao hasa tweet vijana wa hovyo wamekuwa wakidanganya na kupeleka sintofahamu Kwa jamii.TCRA kazi imewashinda.hivi ni vitu vingapi vya America tunakula na kunywa? Anyway kuhusu hili Kuna mtu wakuanza nae atueleze anaushahidi gani kuwa Kuna vitu vimewekwa ili kutuharibu.aidha huku mitaani Hali halisi ya Milo mnaijua lakini nyie wataalamu wa bando za jero.watoto wanakula Milo ya hovyo sana yani chakula kikuu ni wali maharage ugari maharage.akibadili ni kunde na mbaazi.Maoni yangu tunawasomi wengi wa kilimo wakae chini watengeneze virutubishi vyetu serikari inunue igawe Kwa kaya masikini
 
Wanaharakati wa mitandaoni ni wapumbavu, wao kila ajenda wanairukia
 
Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali.

Madawa na tiba hizi zimetoka kwa msaada wa watu wa Marekani (na mimi mmojawapo). Ingekuwa wanataka kutupunguza kwa haraka hakuna pazuri kama pale tupapendapo!! Jinsi masikini wetu wanavyopenda kula na kulana, kulala na kulaliana, kutafuna na kutafuniana; maelfu kama siyo mamilioni ya maskini Hawa wangekuwa wamepumzika ahera madukani siku nyingi.

Tuache ufyatu!! Waacheni wazazi au jamii wanaotaka watoto wao wale chakula cha msaada. Tulikula sisi miaka ya themanini na tunashukuru. Wazazi au jamii wasiotaka kula wasilazimishwe. Wazazi wawakataze watoto kula chakula Nicholas. Lakini kuwanyima watoto na wazazi wengine wasio na tatizo na vyakula hivi ni ufyatu . Tukifika mahali kweli tu tunajitegemea kwa chakula tunaweza kukataa kwa sababu ya kutokujiabisha. Sasa hivi msemo wa wahenga "mwenye njaa hana haramu" una ukweli wake.

Nashauri serikali iache hamaki, itulie na kufikiria tena a more balanced approach. Tusiwe wote hamnazo.
Wewe hamnazo na nilazima utakuwa umelipwa na CIA kuleta upuuzi huu JF,si bure.Cha nini hicho chakula,kwani wameambiwa Tanzania ina njaa.Mzazi mwenye akili hawezi kuruhusu mwanae kula masumu na mataka taka hayo.Kama wanawapenda watoto wa kitanzania walete hela serikali inunue chakula cha kitanzania ambacho ina hakika hakijachezewa.Hiyo poisonous concoction hapana.

Infact ningeshauri serikali ipeleke samples za chakula hicho kwa Mkemia Mkuu na Mkemia mwingine nje ya nchi independent kipimwe kuhakikisha usalama wake kwa matumizi ya binadamu.Ikigundulika hakifai,wahusika wote wachukuliwe hatua kali za kisheria.Hatuwezi kuendelea kuchezewa.Basha kaza kamba,poisonous concoction hiyo hapana.
 
Back
Top Bottom