Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

UKIMWI ni Family Planning Ndugu na Target yao kubwa ni "Sub Sahara" unajua maana ya "Sub Sahara" yaani sisi Negros angalia Data za UKIMWI huku kwetu halafu nenda kwao ukaone.

Hii Mentality ya kupenda vya Dezo na sasa wana Nano technology Mzee usifikiri tunapendwa sana.
Walijua wafrika wanapenda ngono sana na miujiza kuliko kazi.
Mbunge anatembelea gari la milion 300 halafu anaenda kuzindua kisima cha milion 30😀😀😀😀
Bado tunawalaumu wazungu, kwa lipi?
 
Umbumbumbu tu! Waziri kAAMUA KUTEMBELE UMBUMBUMBU WETU!
2. Kondom zinatoka kondoa.?
5. chanjo zote za watoto za matone na sindano zinatoka Tabora?
Machanjo ni mabayaaa!! Tunawaambia kila siku MACHANJO NI MABAYA.

Kupewa chanjo sio TUNU, ni maangamizi ya Taifa.

Mababu zetu hawakuwa na MAKONDOM lakini waliishi mpaka wakatuzaa. Kulikuwa hakuna tatizo lolote.

Kichaa cha kondom kimeletwa na hilo genge uchwara la wauza CHANJO 😹
 
Lakini wengi tumechomwa hizo chanjo utotoni! Chanjo ya ndui na zingine
Machanjo ni mabaya sana, na madhara yake yanaonekana tuna taifa la watu MBUMBUMBU.

Hata kushindwa kubaini ubaya wa machanjo ni mojawapo ya athari za machanjo.
 
Machanjo mabayaaa!! Tunawaambia kila siku MACHANJO NI MABAYA.

Kupewa chanjo sio TUNU, ni maangamizi ya Taifa.

Mababu zetu hawakuwa na MAKONDOM lakini waliishi mpaka waatuzaa. Kulikuwa hakuna tatizo lolote.

Kichaa cha kondom kimeletwa na hilo genge la wauza CHANJO 😹
Chanjo ubaya wake ni upi?
Chanjo iliyopitishwa na WHO unaipinga?
Unataka tuwe na taifa la walemavu wa kupooza ?
Unataka watoto wapate pepopunda?
USA wanampango wa kuwakakata govi kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini, nao wanashindwa kuwafanya msidindishe?

Haya magonjwa babu yako mganga wa kienyeji anaweza kuyazuia,
  1. Polio,
  2. Kifua kikuu,
  3. Pepopunda,
  4. Dondakoo,
  5. Kifaduro,
  6. Homa ya ini,
  7. Homa yauti wa mgongo,
  8. Surua, Nimonia .
  9. Rotavirus.
  10. Kifua Kikuu (BCG), Polio (OPV),Pentavalent (DTP-HepB-Hip), Surua na Pepopunda (TT), Pneumococcal(PCV13) na Rotavirus.
 
Hakuna lolote. Unajishebedua tu ila ujumbe umefika kikamilifu.
Maneno ya taarabu unaandika vizuri kwa lugha ya kiswahili😀😀😀😀.
Tukija kwenye maneno ya kutumia akili lazima utumie maneno ya mabeberu. Unajiona una akili sana😀😀😀😀
Kwa maana hiyo lugha ya kiswahili ipo kwa ajili ya kuchambia watu tu😀😀😀😀
 
Chanjo ubaya wake ni upi?
Chanjo iliyopitishwa na WHO unaipinga?
Unataka tuwe na taifa la walemavu wa kupooza ?
Unataka watoto wapate pepopunda?
USA wanampango wa kuwakakata govi kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini, nao wanashindwa kuwafanya msidindishe?

Haya magonjwa babu yako mganga wa kienyeji anaweza kuyazuia,
  1. Polio,
  2. Kifua kikuu,
  3. Pepopunda,
  4. Dondakoo,
  5. Kifaduro,
  6. Homa ya ini,
  7. Homa yauti wa mgongo,
  8. Surua, Nimonia .
  9. Rotavirus.
  10. Kifua Kikuu (BCG), Polio (OPV),Pentavalent (DTP-HepB-Hip), Surua na Pepopunda (TT), Pneumococcal(PCV13) na Rotavirus.
We bado mtoto.

Ukikua utaelewa
 
Maneno ya taarabu unaandika vizuri kwa lugha ya kiswahili😀😀😀😀.
Tukija kwenye maneno ya kutumia akili lazima utumie maneno ya mabeberu. Unajiona una akili sana😀😀😀😀
Kwa maana hiyo lugha ya kiswahili ipo kwa ajili ya kuchambia watu tu😀😀😀😀
Hakuna lolote. Ujinga mtupu.
 
Machanjo ni mabayaaa!! Tunawaambia kila siku MACHANJO NI MABAYA.

Kupewa chanjo sio TUNU, ni maangamizi ya Taifa.

Mababu zetu hawakuwa na MAKONDOM lakini waliishi mpaka wakatuzaa. Kulikuwa hakuna tatizo lolote.

Kichaa cha kondom kimeletwa na hilo genge uchwara la wauza CHANJO 😹
Umeandika vizuri. Waafrika wametengeneza nini kujiepusha na genge la wauza chanjo?
 
Walijua wafrika wanapenda ngono sana na miujiza kuliko kazi.
Mbunge anatembelea gari la milion 300 halafu anaenda kuzindua kisima cha milion 30😀😀😀😀
Bado tunawalaumu wazungu, kwa lipi?
Wewe nae unaongea lugha za Wabaguzi wa Rangi au umepigwa Brain Wash ya kujichukia uweusi wako.

Mimi kamwe siwezi kuudharau Uweusi wangu huo ni UTUMWA.
 
Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali.

alanced approach. Tusiwe wote hamnazo.
Wangetuua kivipi wakati shida yao ni soko? Wao walibuni ukimwi ili kutuua kwani lengo kuu ni kuzuia idadi yetu lakini pia ni kutunyonya kwa kutuuzia madawa. Sasa mgonjwa ukifa utawezaje tena kununua dawa? Pia ujue mabepari wakubwa kuwanyonya watu wao ni kitu cha kawaida. Kwa hivyo hazina yao inanunua madawa ya ukimwi kwa wazalishaji kisha kutoa kama msaada kwa nchi zingine. Kuonekana wanasaidia wao ni kitu chenye thamani kwani inawapa ushawishi kudhibiti nchi zingine uchumi wao.
 
Back
Top Bottom