Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

Bashe amefuata upepo yaani nini watu wanasema ndo amefuata ila kiukweli Watu weupe hawana mpango wa kutumaliza kama tunavyofikiria ili kubalance Dunia. Na kama wakitaka hivyo mbona simple wanatengeneza kirusi hatari wanakitupa Afrika chap tu tumeisha maana 90% ya maisha yetu tunawategemea wai.

Magari
Vifaa vya ujenzi
Madawa
Pesa
Mawasiliano
Umeme vyote ni wao .
 
Hata wangeuacha tusingekufa! Amini nakwambia.

Ukimwi ukiwa hauna tiba unaogopeka na kuchukuliwa manani kuliko kukiwa na vidonge!!

Hamna ugonjwa unaoweza kumaliza jamii ya watu fulan
 
Wamewaacha na Corona mbona hamjafa?? Kua na akili hata kidogo!!

Lazima uelewe kitu kinachoitwa ADAPTABILITY.
Kwamba viumbe wote duniani wametengenezwa kuadapt na tatizo au ugonjwa bila hvo dunia yote tungekua tumekufa.

Kuna magonjwa mengi ambayo hayana tiba au imechukua karne kupata tiba na bado watu hawajaisha.
Mfano Ulaya walishapataga magonjwa ya mlipuko na pandemiki kama ilivo korona inaua watu wengi lakin wapo wanao adabt au wanazaa watoto ambao ni immune kwene ugonjwa huo.

HIV hata wastopishe dawa haiwezi maliza dunia Watu wengi watakufa mwanzo lakin watakuja ku adapt na kuishi nao.
Kifupi ugonjwa unaenda unapungua had unaisha wenyewe!!…

Hii dunia ina miaka milion nyingi na yashatokea magonjwa zaidi ya ebora mengine yana ua watu wengi na kupotea au na kupata ufumbuzi
Plus Gonjwa moja haliwez ua kila jamii kuna jamiii ambazo miili yako inakinga dhidi ya ugonjwa huo

mfano mzuri Corona wazungu walijua Africa tungekufa kama kuku cha ajabu Walaaaa
wamekufa wenye afya mgogoro tena malaria inaweza kua imeua kuliko hata korona kwa Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…