Wazo kubwa la kibiashara 'Entertainment Group'

Mkuu kibongo vitu vingi vinafeli kutoka na kuweka maslahi binasfi mbele au uvivu.

Nakupa mfana mimi huwa nauza mobile phone accessoires kuna dogo mmoja nikamwambia uwe unachukua vitu unatembeza ukiuza faida tunagawana nusu kwa nusu ila sasa ukimuuliza umeuza anakwambia ndio na anakutajia na kiasi alichonacho namwambia achukue faida yake inayobaki anitumie ninunulie mzigo dogo anakuwa mbabaishaji mara anazima simu mara brah brah nyingi leo nikamfanyia surprise nikaenda asubuhi sana nikachukua vitu vyangu vyote nikaachana naye.

Funzo :tanzania hii kamwe usifanye kazi au biashara ya ushirika.
 
Andaa mchanganuo wako mkuu wewe ndo CEO , founder Nipe/tupe plan YAKO kamilifu tuifanyie marekebisho .
Kwa mtazamo wangu, si kazi yetu ni kuchangia mtaji, ila kutakuwepo na 'management' ya watu 5 ambayo ni vichwa vilivyoiva kweli kweli kwenye mambo ya 'entertainment' na hawa watatoka katika nchi mbalimbali, na watafanya kazi tu pale panapotakiwa kuwa na 'event'
 
Mkuu kibongo vitu vingi vinafeli kutoka na kuweka maslahi binasfi mbele au uvivu.

Nakupa mfana mimi huwa nauza mobile phone accessoires kuna dogo mmoja nikamwambia uwe unachukua vitu unatembeza ukiuza faida tunagawana nusu kwa nusu ila sasa ukimuuliza umeuza anakwambia ndio na anakutajia na kiasi alichonacho namwambia achukue faida yake inayobaki anitumie ninunulie mzigo dogo anakuwa mbabaishaji mara anazima simu mara brah brah nyingi leo nikamfanyia surprise nikaenda asubuhi sana nikachukua vitu vyangu vyote nikaachana naye.

Funzo :tanzania hii kamwe usifanye kazi au biashara ya ushirika.
Changamoto hiyo ipo mkuu, mwanzo mnaweza kuanza vizuri; ila mapato yakianza kuonekana, na migogoro inaanza kutokea.
 
Halafu watu wasipoingia kwnye tamasha pesa za wanachama unarudishaje, Aisee hili wazo lako bado hujachanganua ila kwa ishu za entertainment niche
Watu watakaochangia sh. 2000 inakuwa kama hisa, ila wapo watakaotoa zaidi; kuhusu watu kutoingia au kuingia, kutakuwa na wataalamu wa hayo maeneo ambayo ni kazi yao, pia watu wa 'risk management' watakuwepo.
Show za kibongo huwa hazifikii hao watu laki moja halafu show ambazo huwa mnaziona nyngi mapato yanatokan na sponsors wa event yaan kampun kubwa na huwa hawategemei tickets pekeyake , pia wadhamin wanaangalia kwa kudhamini kwahyo hii ishu mtaonekan mnacheza upatu tu
 
Halafu watu wasipoingia kwnye tamasha pesa za wanachama unarudishaje, Aisee hili wazo lako bado hujachanganua ila kwa ishu za entertainment niche

Show za kibongo huwa hazifikii hao watu laki moja halafu show ambazo huwa mnaziona nyngi mapato yanatokan na sponsors wa event yaan kampun kubwa na huwa hawategemei tickets pekeyake , pia wadhamin wanaangalia kwa kudhamini kwahyo hii ishu mtaonekan mnacheza upatu tu
Wafadhili watakuwepo pia, lakini ili pia wajitokeze itategemea na wewe una nini; pia kabla ya kumleta msanii, utauliza kupitia mitandao ya kijamii wanamtaka msanii gani aje atumbuize, kwa sababu kutakuwepo na 'page' maalumu kwa kila 'platform' ikisomeka labda 'Entertainment Group E.A' n.k
 
Mkuu mm hyo Ni moja ya shughuli zangu na nishaandaa event na wasanii wengi maaruf Tanzania hii wa bongfleva unaowajua we dats why am asking nachimba
 
Ni vizuri pia kuwa na watu wenye uzoefu, ambao wapo field; kwa sababu tunapata uhalisia wa biashara husika
 
Mimi mweka hazina.....nimeshawahi.
Tukufanyie interview hapa hapa; unaweka hazina ili iweje?Mtu akijiita cheo cha u-finance manager, maana yake katika kutetea fani yake, anatakiwa kupambana atakavyoweza pesa ipatikane, na isipungue.
 
Anzisha kwanza then come and convince us tukiona fursa utatuona, run your numbers tuone and show us the money , kama inalipa hata watano tuu wanaweza mwaga hiyo 200m yote, numbers dont lie
 
ha ha ha, uoga wetu ndio umasikini wetu
 
Hapo Ili upate watu wa kuweza kumanage at least entry fee iwe 100,000/= ni sawa na watu 2000 tu. Na hata kikao kikiitwa tunaweza wote Kaa kwenye viti...Maoni tu 🙏
 
Halafu watu wasipoingia kwnye tamasha pesa za wanachama unarudishaje, Aisee hili wazo lako bado hujachanganua ila kwa ishu za entertainment nichek
Hapa hajaongerea maswala ya kuchekiana yeye katoa wazo Kama vipi na wewe toa wazo weka hadhalan sio kuchekiana be serious
 
Back
Top Bottom