Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,940
- 1,055
Mkuu kibongo vitu vingi vinafeli kutoka na kuweka maslahi binasfi mbele au uvivu.
Nakupa mfana mimi huwa nauza mobile phone accessoires kuna dogo mmoja nikamwambia uwe unachukua vitu unatembeza ukiuza faida tunagawana nusu kwa nusu ila sasa ukimuuliza umeuza anakwambia ndio na anakutajia na kiasi alichonacho namwambia achukue faida yake inayobaki anitumie ninunulie mzigo dogo anakuwa mbabaishaji mara anazima simu mara brah brah nyingi leo nikamfanyia surprise nikaenda asubuhi sana nikachukua vitu vyangu vyote nikaachana naye.
Funzo :tanzania hii kamwe usifanye kazi au biashara ya ushirika.