Wazo la Biashara: Sanitary ware au Plumbing

Wazo la Biashara: Sanitary ware au Plumbing

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
306
Reaction score
706
Wakuu habari,

Nina elewa ni vizuri kibiashara vizuri kuviambatanishe pamoja PLUMBING (mabomba ya maji na fittings zake) na SANITARY WARE (sinks aina zote na vifaa vya bafuni) coz ni sector mbili zinazoendana.

Lakini kwa mtaji nilionao inanipasa nifanya moja kati ya hizo mbili, na ambayo nimependelea ni hyo sanitaty ware ambayo nitakuwa nauza toilet sinks, kitchen sinks, washin sinks, bidets, shower sets na bathroom accessories.

Mara nyingi fundi wa kukuwekea bomba ndio huyo huyo atakuwekea sinks etc., so mostly atanunua sinks pale alipochukua bomba.

Je, naweza kudidimia kibiashara kwa kuwa nitakuwa nauza masink tu na shower sets kwa kukosa mabomba, au nitatoka kwa style hii.

Ushauri wenu wakuu!
 
Hapo unapotaka kufungua biashara hamna mtu mwingine karibu anayefanya biashara ya Plumber. Kama yupo tumia duka lake kama store yako. Mara nyingi wateja na mafundi hawahitaji kuona na chagua bomba na fittings zake bali sanitary maana hizo zipo aina nyingi hivyo lazima wazione na kuchagua.

Alafu uko mkoa gani?
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza mkuu
 
Au unaonaje kama niweke pipes aina tofauti (ips, pvc, polly etc) then nianze ata sinks za choo kwanza, then huko mbeleni mtaji ukikuwa niweke sink nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom