Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Wakuu habari,
Nina elewa ni vizuri kibiashara vizuri kuviambatanishe pamoja PLUMBING (mabomba ya maji na fittings zake) na SANITARY WARE (sinks aina zote na vifaa vya bafuni) coz ni sector mbili zinazoendana.
Lakini kwa mtaji nilionao inanipasa nifanya moja kati ya hizo mbili, na ambayo nimependelea ni hyo sanitaty ware ambayo nitakuwa nauza toilet sinks, kitchen sinks, washin sinks, bidets, shower sets na bathroom accessories.
Mara nyingi fundi wa kukuwekea bomba ndio huyo huyo atakuwekea sinks etc., so mostly atanunua sinks pale alipochukua bomba.
Je, naweza kudidimia kibiashara kwa kuwa nitakuwa nauza masink tu na shower sets kwa kukosa mabomba, au nitatoka kwa style hii.
Ushauri wenu wakuu!