Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

Umejifunza Kitu Kwenye Huu uzi?

  • Ndio

  • Hapana

Results are only viewable after voting.

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
1000730247.jpg

Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaoishi mijini.

Leo hii nakuletea mchanganuo wa gharama, mapato na faida, ili uone mwenyewe jinsi unavyoweza kuanza na kufanikiwa katika ufugaji huu.

1️⃣ Gharama za Uendeshaji kwa Mwezi
Katika maeneo ya mijini kama Dar es Salaam, gharama za kumhudumia ng'ombe mmoja wa maziwa kwa mwezi zinajumuisha:
Chakula (nyasi na virutubisho kama pumba, mashudu, na mifugo feeds) – TSh 150,000 - 300,000
Matibabu na Chanjo
– TSh 10,000 - 20,000
Maji
– TSh 20,000 - 50,000
Ulinzi na Wafanyakazi
(ikiwa unamwajiri mtu) – TSh 100,000 - 200,000
Gharama nyingine
(banda, umeme, vifaa) – TSh 10,000+

💰 Jumla ya Gharama kwa Mwezi: TSh 280,000 - 570,000

2️⃣ Makadirio ya Mapato kwa Mwezi

Ng'ombe wa maziwa mwenye ubora mzuri anaweza kutoa wastani wa lita 15 - 25 kwa siku.
Kwa bei ya maziwa ya TSh 1,700 - 2,000 kwa lita, unaweza kupata mapato yafuatayo:
15 lita x 30 siku x 1,700 = TSh 765,000 kwa mwezi
25 lita x 30 siku x 2,000 = TSh 1,500,000 kwa mwezi

💰 Jumla ya Mapato kwa Mwezi: TSh 765,000 - 1,500,000

3️⃣ Makadirio ya Faida kwa Mwezi

Faida = Mapato - Gharama
Faida Ndogo (gharama kubwa, uzalishaji mdogo):
TSh 765,000 - 280,000 = TSh 485,000
Faida Kubwa (gharama ndogo, uzalishaji mkubwa):

TSh 1,500,000 - 570,000 = TSh 930,000

🚀 Kwa ng’ombe mmoja tu wa maziwa, unaweza kutengeneza faida ya TSh 485,000 hadi 930,000 kwa mwezi!

4️⃣ Faida Nyingine za Ufugaji wa Ng’ombe wa Maziwa
Kusindika maziwa
– Badala ya kuuza maziwa ghafi, unaweza kuzalisha bidhaa kama mtindi, siagi na jibini, ambazo huuzwa kwa bei ya juu.
Mbolea ya samadi – Samadi kutoka kwa ng’ombe wako inaweza kuuzwa kwa wakulima kama mbolea bora.
Ndama wa kuuza – Ng’ombe wako ataendelea kuzaa ndama, ambao unaweza kuuza au kuongeza idadi ya mifugo wako.
Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ni biashara yenye faida kubwa na inayotoa kipato endelevu kila siku. Ukiwa na mipango mizuri na maarifa sahihi, unaweza kukuza biashara yako kwa muda mfupi!

📢 BADO HUJAJIUNGA NA GROUP LETU LA MAFUNZO? WASILIANA NASI 0764 148 221
Jiunge leo upate elimu ya kina kuhusu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na mbinu za kuongeza faida yako!

#KilimoBiashara
#UfugajiWaNgombeMaziwa
#MaziwaYanafedha
#FursaZaKilimo
#ShambaDarasa
#JifunzeNaSisi
 
View attachment 3286792

📢 BADO HUJAJIUNGA NA GROUP LETU LA MAFUNZO?

Safi kabisa!
 
Niliwaza hapa Kama huuzi ng'ombe,unafundisha kozi, ama unauza kitu sijui Mana ni nadra kujuta unaambiwa kitu chenye faida pasipo wewe kupigwa. Ile kauli ya kuwa ukiona unaitwa kwenye fursa ujue ww mwenyewe ndio fursa inachukua miaka mingi mno kuijua ukweli wake
 
Tatzo Elimu yetu ya Chuo inatupotosha kiasi kwamba tunachukulia Ng'ombe kama kuku. Mimi nimezaliwa katika Mazingira ya ufugaji na hakuna mfugaji anaweza tumia Hizo ghalama zako Kwa mwezi labda anayefuga kuku. ukitaka kuamini Anza hiyo Biashara ndo utajua kuwa ulikuwa sahihi wakati unapotosha umma au ulikuwa wrong
 
Hapo kwenye hesabu ya faida kunahitaji kuboreha.

Faida ndogo ni 765,000 - 570,000 = 195,000
Na faida kubwa ni 1,500,000 - 280,000 = 1,220,000.

Kwahiyo range ya faida ni kuanzia 195,000 mpaka 1,220,000.

Vilevile unatakiwa kutoa angalizo la risks zinazohusiana na biashara hii ambazo ni pamoja na maziwa kuharibika, maziwa kumwagika, kukosa wateja kwa wakati, ng'ombe kutokutoa maziwa ya kutosha.

Halafu hesabu hizi zimekadiria kuwa ng'omba atatoa maziwa kila siku kwa mwaka mzima. Ili ng'ombe atoe maziwa anatakiwa kupandikizwa na kuzaa. Kwahiyo kitakuwepo kipindi ambacho atakuwa hatoi maziwa. Kwahiyo, makadirio ya lita 15-25 ni makubwa mno.

Kiujumla, biashara ya ufugaji kwa ajili ya maziwa inafaa zaidi iwapo mfugaji anakuwa na mifugo mingi, angalau kuanzia ng'ombe 10 kuendelea. Kwa ng'ombe mmoja, gharama za uendeshaji zinakuwa kubwa na kukosa njia ya kufidia hasara zinazojitokeza. Ukiwa na ng'ombe wengi, hasara ya ng'ombe mmoja inafidiwa na wengine.
 
Watanzania wanapenda sana kuibiwa. Wanaweza kuunga mkono juhudi.

Ningekuwa mimi kama kweli napenda ufugaji, ningewekeza muda wa kutosha kujifunza kwa nadharia na vitendo ili niwe master wa game.

Haya mambo ya Jatu, Mr. Manguruwe, na hata yule binti makalio na wengine kadhaa, eti wanabeba jukumu la kutuondoa kimasomaso, ni uongo mkubwa kwa nafsi zetu wenyewe
 
Asante pia.
NB: Alieandika ni mtaalamu wa mifugo na mfugaji wa muda mrefu
Nakubali mkuu Andiko lako limejitosheleza kabisa.

Hapo hujaandika ng'ombe akifa Kila hesabu Yako inaishia hapo kwenye Kila jambo Kuna changamoto nyingi sana Ili utoboe Cha kwanza uwe mvimilivu ...ukiandika hivyo na mtu akaja kichwa kichwa lazima ataimba wimbo mpya kabla hajafika mbinguni
 
Watanzania wanapenda sana kuibiwa. Wanaweza kuunga mkono juhudi.

Ningekuwa mimi kama kweli napenda ufugaji, ningewekeza muda wa kutosha kujifunza kwa nadharia na vitendo ili niwe master wa game.

Haya mambo ya Jatu, Mr. Manguruwe, na hata yule binti makalio na wengine kadhaa, eti wanabeba jukumu la kutuondoa kimasomaso, ni uongo mkubwa kwa nafsi zetu wenyewe
Kama umesoma vizuri hakuna alieombwa hela kuwekeza., ila nimetoa elimu ili wewe unaetaka kufuga uweze kujia ni gharama gani utaingia na kiasi gani utapata.
Nimeshare elimu na uzoefu wangu na inaweza kumsaidia sana yule anaetaka kuanza ufugaji
 
Niliwaza hapa Kama huuzi ng'ombe,unafundisha kozi, ama unauza kitu sijui Mana ni nadra kujuta unaambiwa kitu chenye faida pasipo wewe kupigwa. Ile kauli ya kuwa ukiona unaitwa kwenye fursa ujue ww mwenyewe ndio fursa inachukua miaka mingi mno kuijua ukweli wake
Ndugu, Mimi ni mtaalamu wa ufugaji na mzoefu mzoefu, nimekua nikielimisha, kufuga na kushirikiana na wafugaji na makampuni kwa muda. Na hapa nimeshare uzoefu wangu
 
Back
Top Bottom