Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

Umejifunza Kitu Kwenye Huu uzi?

  • Ndio

  • Hapana


Results are only viewable after voting.

Ndugu.
Anaeandika hapa ni mfugaji ja mtaalamu, wewe si umekulia katika ufugaji na hujui exactly gharama zilizokua zikitumika.
Nimekuandaliaa nandiko hili ujifunze
N.B Hizi ni gharama za uendeshaji kwa mwezi, hatujawekq gharama za ununuzi wa ng'ombe na ujenzi wa banda.

👉Ingekua vyema ungepinga kwa kuweka mchanganuo wako. Sio maneno tu
 
Asante kwa maoni yako mazuri ya kujenga na yenye mantiki. Cha kuongezea ni kwamba tunashauri mfugaji ajifunze kwa wazoefu kabla ya kuanza ili aweze kujia risk zinazoambatana na ufugaji na namna ya kupunguza.

 
Nikianza na ngombe mumoja ndani ya myaka mitanosi nitajenga gorofa ndugu nwandishi
 
Mwandishi kwa kiasi chake amejitahidi hizo risks za kufa or kuibiwa zipo tu..Hata wewe ukisema uwaze kifo hutofanya any progress

Labda swali langu kwako MFUGAJI..wapi wanapatikana ng'ombe wazuri wa kisasa na bei zao zikoje?..asante
 
Future problem, regardless una Nia njema kiasi gani, Tanzania hakuna mtu anayeweza manage hivi vitu kwa sasa, itaishia tu kwenye utapeli!
 
Mwandishi kwa kiasi chake amejitahidi hizo risks za kufa or kuibiwa zipo tu..Hata wewe ukisema uwaze kifo hutofanya any progress

Labda swali langu kwako MFUGAJI..wapi wanapatikana ng'ombe wazuri wa kisasa na bei zao zikoje?..asante
Asante kwa maoni mazuri.
Kwa sasa tunao ng'ombe aina mbili, chotara mwenye uwezo wa kutoa lita 15 kwa siku. Bei ni Million 2.5 anakua na mimba ya miezi 4 hadi 6. kwa pure fresian mwenye uwezo wa lita 20 bei ni million 3.5
Tunapatikana Mwanza. Dar na arusha tunawawakilishi.
Pia mikoani tunasafirisha kwa gharama za mfugaji
 
Mwandishi kwa kiasi chake amejitahidi hizo risks za kufa or kuibiwa zipo tu..Hata wewe ukisema uwaze kifo hutofanya any progress

Labda swali langu kwako MFUGAJI..wapi wanapatikana ng'ombe wazuri wa kisasa na bei zao zikoje?..asante
Asante kwa maoni mazuri.
Kwa sasa tunao ng'ombe aina mbili, chotara mwenye uwezo wa kutoa lita 15 kwa siku. Bei ni Million 2.5 anakua na mimba ya miezi 4 hadi 6. kwa pure fresian mwenye uwezo wa lita 20 bei ni million 3.5
Tunapatikana Mwanza. Dar na arusha tunawawakilishi. Tu
 
Kumlisha ng'ombe Kwa mazingira ya mjini kama Dar ndiyo mtihani.labda uwe unaeneo kubwa kama hekta tatu ili ulime na malisho yake.tofauti na hapo gharama ya kumlisha itakushinda tu
 
Kumlisha ng'ombe Kwa mazingira ya mjini kama Dar ndiyo mtihani.labda uwe unaeneo kubwa kama hekta tatu ili ulime na malisho yake.tofauti na hapo gharama ya kumlisha itakushinda tu
Ni kweli ila kwa sasa wafugaji wanapunguza gharama na changamoto kwa kuwalisha chakula kama hey na silage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…