Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

Umejifunza Kitu Kwenye Huu uzi?

  • Ndio

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
Jina unalotumia haliendani na unachocoment ndugu
Ila unakubaliana namie kuwa jamaa anataka kupiga hela kwa greed za binadamu, yaani watu wanaona hela ya fasta, unakuta yeye hata hafugi Ila anauza elimu,.maneno na uelewe kuwa words are cheaper than actions
 
Sasa hapo mtu anapigaje hela na ajakuomba hela amekupa elimu ya bure kabisa. Kunasehemu kaomba hela?
Ila unakubaliana namie kuwa jamaa anataka kupiga hela kwa greed za binadamu, yaani watu wanaona hela ya fasta, unakuta yeye hata hafugi Ila anauza elimu,.maneno na uelewe kuwa words are cheaper than actions
 
Tuna group letu la wafugaji wataalamu na wadau, ada ya kwaka ni elfu 30 tu
Hapa ndipo unapopigia hela , Sasa kwa nini wwe usifuge kabisa mbona unauza wazo kwani Kuna ugumu Gani wew kuitumia,
Mie ninunue ng'ombe mmoja unipe faida ya 200k Kila mwezi zingine chukua hata laki ama laki na nusu wewe nipe zingine chukua.
Yaani unapiga hela kwenye kufuga na umeandika heading ya ku trigger amygdala brain region responsible for emotions yaani umegusa watu hisia ni sawa na demu akapita akaonyesha maungo yake so akili wanaume zinahama mara moja zinabakia zinabakia hisia zinamuongoza kufanya maamuzi.
N umeandika kuwa wekeza sijui 280k huku Bei ya ng'ombe haijulikani, pia gharama za Banda, yaani ni sawa na journalists wanavyoweka heading ya kuvutia watuwanunue gazeti ama kazi zao.
Hapa inabidi tukubaliane kuwa unataka watu wa kuingia kwenye matunzo upige hela Wala hakuna kitu, sema unauza elimu ambayo Haina guarantee ya kumpa mtu faida.
Yaani vyuo vikuu vinatakiwa viulizwe vinahukua hela Ila wao wanatoa karatasi in return
 

FAIDA ZA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA UFUGAJI​

✅ Elimu ya Ufugaji – Jifunze kuhusu aina bora za ng’ombe, lishe sahihi, na mbinu za kuongeza uzalishaji wa maziwa.
✅ Ushauri wa Wataalamu – Pata mwongozo wa moja kwa moja kutoka kwa wataalamu wa mifugo na wafugaji wazoefu.
✅ Fursa za Biashara – Tambua masoko, bei za maziwa, na njia za kuongeza thamani kama usindikaji.
✅ Mchanganua wa Gharama – Fahamu jinsi ya kupunguza gharama na kuongeza faida katika ufugaji wako.
✅ Mafunzo ya Vitendo – Semina, mijadala, na ziara za mafunzo kwa wafugaji wakubwa.
✅ Uwezeshaji wa Wafugaji – Pata taarifa za mikopo na miradi inayosaidia wafugaji.
Kwa Wafugaji ukimuelezea hizi faida ni lazima ajiunge kwa sababu kila kitu kinagharama za uendeshaji, ila kwa wewe ambae hufanyibiashara, huna majukumu yoyote na upo kwenu tu utaona tunapiga hela 🤭
Nadhani kwa sasa huwezi kuelewa ukikua utaelewa.


#UfugajiWaNgombeMaziwa #KilimoBiashara #FursaZaKilimo #JifunzeNaSisi
 
Pia tunakukaribisha shambani kwetu ujionee ufugaji unavyofanyika
 
Mr kuku,nguruwe,vanila,nicole msanii sasa mnataka kuwaingilia ng’ombe na wananchi ng’ombe
 
Andiko zuri, lakin ufugaji/biashara huwa hazijanyoooka kama ulivyoelezea brother.
Wape na tahadhari za kupanda na kushuka.
Chapisho zuri...sema lina tumapungufu pungufu.
 
Andiko zuri, lakin ufugaji/biashara huwa hazijanyoooka kama ulivyoelezea brother.
Wape na tahadhari za kupanda na kushuka.
Chapisho zuri...sema lina tumapungufu pungufu.
Asante.
Hakuna kitu kisicho na changamoto, na kila mtu anapitia changamoto za kwake, cha msingi ni kuweka nia ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…