Wazo la kuanzisha public library hapa green city-Mbeya mjini

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Hello Jamii forum members:

Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi.
Jambo la msingi nataka project iwe designed kuwafanya watu wote wapendao kujisomea (makundi yote) iwe ndo sehemu yao ya kupata maarifa na kukutania kwa discussion ya masuala yao ya kitaalamu. Itakuwa ni sehemu yenye vitabu vya aina zote kuanzia watoto, shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu na General knowledge katika fani za iana zote hapa duniani. Pia kutakuwa na e-library (kwa ajili ya kujitafutia taarifa na elimi mbalimbali).

HIVI NDO NAANDAAA BUSINESS PROPOSAL ( MIMI MWENEYEWE NDO FANI YANGU). KWA MWINGINE YEYOTE ATAWEZA JADILI NAMI KUONA NAMNA ANAVYOWEZA KUNITUMIA MIMI KUANDAA SUCH BUSINESS PLAN KWA AJILI YA KUFANYA IMPLEMENTATION SEHEMU NYINGINE YOYOTE (HASA KWENYE MAJIJI).

VISIT ME AT: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 
watanzania wengi hawapendi au ni wavivu wa kusoma machapisho ukilingasha na watu wa mataifa mengine. Mara nyingi ninaposafiri huwa sion abiria watanzania anasoma kitabu au majirida. zaidi zaidi huwa naona wanasinzia na kulala tu. Jaribu kulizingatia hili katka mipango yako.
 
Kama ni Charity project go ahead. Lakini kama ni biashara ya kuingiza faida forget about this. Wanavyuo tu hawasomi library. I mean hawasomi vitabu. Wana soma videsa.

Kama unataka kuendelea na wazo hili fanya yafuatayo.;
1. Weka madesa (maswali na majibu) ya kuanzia darasa la kwanza hadi PhD.

2. Weka sehemu maalum ambapo uta toa huduma ya vinywaji hususani pombe.

3. Weka huduma ya vyumba vya kupumzikia. Watu wakisoma wakianza kusinzia wanaenda short time kulala halafu wanarudi tena.

Hivyo ndo vitu vitavuta wabongo.
 
Hapo namba tatu #3 kwa kizazi hiki ni kuprovide mazingira ya kungonoka. Wabongo watakuja watasex na kuondoka bila kusoma wala kuandika
 
Mawazo mengine mhhhh!! anyway Michango mizuri, ila kuna vingine haviendani na dhima ya project. kumbuka in social enterprise, faida kubwa ni kwa watumiaji, watakacho lipa kitasaidia kuendeleza taasisi hiyo.
 
Mkuu na mimi nilikuwa na wazo kama la kwako ila nataka niiweke arusha.. naomba hiyo business plan yako ukishaiandaa na mimi nipate basics
 
kwenye basi ni kazi sana kusoma, mitikisiko mingi.
 
haiwezi kulipa saizi ni ishu za ebooks. utaishia kuwa ombaomba wa vitabu vya zamani ulaya. we tufungulie wine shop/bar tupombeke.
 
fungua mwaya tena lenga maeneo yaliyo karibu na vyuo. unaweza kuset kias flani cha annual membership fee na kiasi cha wale wanaokuja na kutoka wasiotaka umemba wa muda mrefu. usisahau kuweka magazeti ya kila siku.
usikatishwe tamaa. tunapenda kusoma ila hela za kununua vitabu na majarida hatuna. hiyo itatupunguzia gharama.
 
unafikiri inaweza kujiendesha kibiashara?
 

hahahahaha Afrika kweli ina safari ndefu kufikia maendeleo
 
mi pia nampango wa kusaidia jamii yangu ya Tanzania kuwafungulia library lakin itakuwa bure najua ndio watakuja ila sijajua bado ni kiasi gani niandae unaweza nisaidia mkuu
 
mi pia nampango wa kusaidia jamii yangu ya Tanzania kuwafungulia library lakin itakuwa bure najua ndio watakuja ila sijajua bado ni kiasi gani niandae unaweza nisaidia mkuu

weka hata kiingilio cha sh mia mbili. sometimes vya bure huwa vinakuwa perceived vibaya na si ajabu watu wasije.
 
unafikiri inaweza kujiendesha kibiashara?

inaweza sana. kwa mfano kwa kiingilio cha buku daily kwa wateja kumi kwa siku (makadirio ya chini) ana elf 10. kwa mwezi ana tsh 300,000 . wale wateja wataolipia annual fee hela yao ndio itatumika kulipa rent, umeme na other costs.
labda kama mshkaji anataka supernormal profit. ila tu ajue payback period yake lazma itakuwa muda mrefu sana ila baada ya hapo ni maprofit tu.
 
ideas nzur ila kama utaiweka pale maeneo palipo tulia na sio mwanjelwa ,, na ujarbu kuupgrade your tools cause kpind tulicho ni technology ya juu! watu kusoma ni wavivu weng mda mwing ni whatsp, viber, instagram etc, hata library nying za vyuo ujaa kpind cha test na UEna ukizingatia stakeholder wako unalenga wanafunzi wa kitanzania na ambao sio wanafunzi! unaitaj strong advirtisement iweze kuhit ..
 

Sio watanzania mkuu, waafrika, mi mwenyewe nilishuhudia tumetoka london to south africa ni wazungu tu ndo walishka vitabu! baada ya hapo tunatoka south to tz wabongo weng ilikua ni kunywa na kusikiliza mzki fulu shangwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…