Wazo la kuanzisha public library hapa green city-Mbeya mjini

Wazungu wote wanapenda sana kujisomea muda mwingi ana kitabu wanazoeshwa na wazazi wao toka wadogo,waafrika wanajua kujisomea ni wakati wa mtihani tu tena wanasoma vitini Kama vya nyambari nyangwine maswali na majibu basi.Ili uwavutie inabidi uweke vitabu vya mapenzi na udaku pia
 
weka hata kiingilio cha sh mia mbili. sometimes vya bure huwa vinakuwa perceived vibaya na si ajabu watu wasije.

Husninyo, belive me, ata ukiweka bure watu hawatajaa, hii sio biashara labda fanya kama huduma.

Na ata pesa za kulipa wafanyakazi mishahara na pango itabidi atafute vyanzo vingine ili visaidie hapo.Yenyewe haitaweza.
 
Kama ni Charity project go ahead. Lakini kama ni biashara ya kuingiza faida forget about this. Wanavyuo tu hawasomi library. I mean hawasomi vitabu. Wana soma videsa.

Kama unataka kuendelea na wazo hili fanya yafuatayo.;
1. Weka madesa (maswali na majibu) ya kuanzia darasa la kwanza hadi PhD.

2. Weka sehemu maalum ambapo uta toa huduma ya vinywaji hususani pombe.

3. Weka huduma ya vyumba vya kupumzikia. Watu wakisoma wakianza kusinzia wanaenda short time kulala halafu wanarudi tena.

Hivyo ndo vitu vitavuta wabongo.

Hahahaha unachekesha sana, hata ulaya hakuna mfumo huo,huo ni uvivu
 
Husninyo, belive me, ata ukiweka bure watu hawatajaa, hii sio biashara labda fanya kama huduma.

Na ata pesa za kulipa wafanyakazi mishahara na pango itabidi atafute vyanzo vingine ili visaidie hapo.Yenyewe haitaweza.

ulishawahi kujaribu hawajaja? acheni kuishi kwa kukariri.
 
Hello Jamii forum members:

Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi.
Jambo la msingi nataka project iwe designed kuwafanya watu wote wapendao kujisomea (makundi yote) iwe ndo sehemu yao ya kupata maarifa na kukutania kwa discussion ya masuala yao ya kitaalamu. Itakuwa ni sehemu yenye vitabu vya aina zote kuanzia watoto, shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu na General knowledge katika fani za iana zote hapa duniani. Pia kutakuwa na e-library (kwa ajili ya kujitafutia taarifa na elimi mbalimbali).

HIVI NDO NAANDAAA BUSINESS PROPOSAL ( MIMI MWENEYEWE NDO FANI YANGU). KWA MWINGINE YEYOTE ATAWEZA JADILI NAMI KUONA NAMNA ANAVYOWEZA KUNITUMIA MIMI KUANDAA SUCH BUSINESS PLAN KWA AJILI YA KUFANYA IMPLEMENTATION SEHEMU NYINGINE YOYOTE (HASA KWENYE MAJIJI).

VISIT ME AT: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED

Ni wazo zuri sana linahitaji fedha.

Pili katika hio project kutahitajika kuwepo Internet, namanisha computers, hilo ni muhimu katika library.
Nchi zilizo endelea zimepiga hatua kielimu kutoka na serikali kuunga mkono vitu kama hivi.
Kwa mfano wako walio anzisha art community, kwa vijana under 18, YMCA, na community nyengine za kutoa elimu kwa vijana bure, na hivi vimesaidia kukuza elimu na kutoa vijana wenye uwezo mkubwa wa uwelewa katika kusoma.
 
fungua mwaya tena lenga maeneo yaliyo karibu na vyuo. unaweza kuset kias flani cha annual membership fee na kiasi cha wale wanaokuja na kutoka wasiotaka umemba wa muda mrefu. usisahau kuweka magazeti ya kila siku.
usikatishwe tamaa. tunapenda kusoma ila hela za kununua vitabu na majarida hatuna. hiyo itatupunguzia gharama.
Kama una uwezo na unataka kufanya kama msaada kwa jamii, inawezekana. Lakini siyo biashara ya kujiendesha. Hata 10% ya gharama haziwezi kurudi. Ukweli ni kwamba hakuna library duniani ambayo ina jiendeaha kwa faida. Library ni huduma ya jamii. Haina maana uanzishe kitu halafu baadae ugeuke omba omba kukiendeleza.
 
hebu toa majina ya hizo libraries zinazojiendesha kwa hasara. hakuna fursa duniani isiyolipa. swala linabaki kwako namna ya kuifanya ilipe. library inaweza muingizia kiasi cha kuridhisha endapo atakuwa creatv
 
Vitabu ni ghali sana. Sijui utakuwa na mtaji wa kiasi gani kuweka vitabu vya kila taaluma vya kutosha kwa ngazi zote. It is not a Joke. Mtu mmoja tu unatumia vitabu vya hadi laki 3 kwa semister, hapo ni programme moja tu. Kwa hiyo chances za kuwa na vitabu vya kila aina ni ndogo sana. Utajikuta watu wanakuja hawapati kile wanachotafuta. Trust me labda kama utaweka vitabu vya mkuki na nyota.
 
inaweza sana. kwa mfano kwa kiingilio cha buku daily kwa wateja kumi kwa siku (makadirio ya chini) ana elf 10. kwa mwezi ana tsh 300,000 . wale wateja wataolipia annual fee hela yao ndio itatumika kulipa rent, umeme na other costs.
labda kama mshkaji anataka supernormal profit. ila tu ajue payback period yake lazma itakuwa muda mrefu sana ila baada ya hapo ni maprofit tu.
atahhitaji kama wakutubi wawili, watu wa usafi, umeme, maji na pia mtaji wa vitabu si wa kitoto. vitabu vya maana vinaanzia laki pia huwezi kuweka paperbacks library. na hiyo buku kwa siku ni kama 200,000 kwa mwaka, nani yuko tayari kulipa?. kama ni charity sawa.
 
hebu toa majina ya hizo libraries zinazojiendesha kwa hasara. hakuna fursa duniani isiyolipa. swala linabaki kwako namna ya kuifanya ilipe. library inaweza muingizia kiasi cha kuridhisha endapo atakuwa creatv
labda aweke na bookshop.
 
Vitabu ni ghali sana. Sijui utakuwa na mtaji wa kiasi gani kuweka vitabu vya kila taaluma vya kutosha kwa ngazi zote. It is not a Joke. Mtu mmoja tu unatumia vitabu vya hadi laki 3 kwa semister, hapo ni programme moja tu. Kwa hiyo chances za kuwa na vitabu vya kila aina ni ndogo sana. Utajikuta watu wanakuja hawapati kile wanachotafuta. Trust me labda kama utaweka vitabu vya mkuki na nyota.

ndio maana nikasema itachukua muda kurudisha gharama zake za awali. na pia haiwezekani kuweka vitabu vya kila aina. ataweka kulingana na mahitaji ya wateja wake na budget yake.
 
Kama ni Charity project go ahead. Lakini kama ni biashara ya kuingiza faida forget about this. Wanavyuo tu hawasomi library. I mean hawasomi vitabu. Wana soma videsa.

Kama unataka kuendelea na wazo hili fanya yafuatayo.;
1. Weka madesa (maswali na majibu) ya kuanzia darasa la kwanza hadi PhD.

2. Weka sehemu maalum ambapo uta toa huduma ya vinywaji hususani pombe.

3. Weka huduma ya vyumba vya kupumzikia. Watu wakisoma wakianza kusinzia wanaenda short time kulala halafu wanarudi tena.

Hivyo ndo vitu vitavuta wabongo.

so funny et videsa!!
km chuo assignmeñt twenden libray watu oohh kwan daruso statnry madesa mbon yapo bn!!!
finally tunaproduce graduate wa madesa
 
ndio maana nikasema itachukua muda kurudisha gharama zake za awali. na pia haiwezekani kuweka vitabu vya kila aina. ataweka kulingana na mahitaji ya wateja wake na budget yake.

Kafanye utafiti kidogo TLS - Tanzania Library Services. Utajua tuna maanisha nini. Watu wana graduate hawajawahi kuingia Library. Inaonekana huwajui wa TZ wewe. Book allowance wana nywea pombe halafu wanaishia kutoa photocopy videsa.
 
Hello Jamii forum members:

Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi.
Jambo la msingi nataka project iwe designed kuwafanya watu wote wapendao kujisomea (makundi yote) iwe ndo sehemu yao ya kupata maarifa na kukutania kwa discussion ya masuala yao ya kitaalamu. Itakuwa ni sehemu yenye vitabu vya aina zote kuanzia watoto, shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu na General knowledge katika fani za iana zote hapa duniani. Pia kutakuwa na e-library (kwa ajili ya kujitafutia taarifa na elimi mbalimbali).

HIVI NDO NAANDAAA BUSINESS PROPOSAL ( MIMI MWENEYEWE NDO FANI YANGU). KWA MWINGINE YEYOTE ATAWEZA JADILI NAMI KUONA NAMNA ANAVYOWEZA KUNITUMIA MIMI KUANDAA SUCH BUSINESS PLAN KWA AJILI YA KUFANYA IMPLEMENTATION SEHEMU NYINGINE YOYOTE (HASA KWENYE MAJIJI).

VISIT ME AT: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED

you've got to be kidding...labda chanzo cha pesa zako ni biashara ya dawa za kulevya au kama utakuwa unapata madili ya kuvujisha mitihani ya shule za msingi na sekondari.
 
Comment hii lazima imetoka kwa mtu asiye msomi, na kama msomi, hajaelimika!!!! asiye jua maana ya proposal, wala kuelewa content ya hoja husika. Poor msomi!!!
 
Kafanye utafiti kidogo TLS - Tanzania Library Services. Utajua tuna maanisha nini. Watu wana graduate hawajawahi kuingia Library. Inaonekana huwajui wa TZ wewe. Book allowance wana nywea pombe halafu wanaishia kutoa photocopy videsa.

Asante, naelewa kuhusu TLS, PIA NAELEWA SANA JUU YA WATANZANIA KUWA WENGI SANA HAWANA READING HABIT; VITABU KWAO SI KITU CHA THAMANI, NDO MAANA HATA MAGAZETI YENYE WAPENZI NI UDAKU TU, AKISOMA NIPASHE AU THE GUARDIAN WANAISHIA KUSINZIA, KWENYE SAFARI NDEFU HAKUNA ANAYESOMA HATA NOVEL TU, WOTE NI SOGA AU KUSINZIA TU. BUT there must be a change, AMINI KWAMBA WAPO WANAOPENDA KUJISOMEA IWE NI WANAFUNZI AU WATU WA KAWAIDA. LAKINI PIA WAZO HILI USIDHANI HALINA MASHIKO, WAPO WANAO TAMANI HUDUMA HII, WENGI WANAHITAJI KUSHAWISHIWA. MFUMO WA TLS NI MZURI JAPO SI VILE NINAVYO WAZA KUDESIGN, TLS INA MAPUNGUFU MENGI, KUANZIA LOCATION NA MUUNDO WAKE.

WATU HUMU NDANI WANACHANGIA AS IF HII PROPOSED PROJECT NI UHARAMIA FULANI; ONA SOMEBODY UTINGO ALIVYO COMMENT, UTADHANI ANA UGOMVI NA IPILIMO; KWELI NCHI HII INA WASOMI WA AJABU SANA!!! HAKIKA NINA SHAKA JUU YA UTENDAJI NA UFANISI WAO KAMA WAMEAJILIWA SEHEMU AU WAMEJIAJILI.
 
Huyu Utingo atakuwa si mzima kichwani .Aiwezekani mtu alete mada nzuri kama hii harafu umpe shutuma hizo hauko sawa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kama una uwezo na unataka kufanya kama msaada kwa jamii, inawezekana. Lakini siyo biashara ya kujiendesha. Hata 10% ya gharama haziwezi kurudi. Ukweli ni kwamba hakuna library duniani ambayo ina jiendeaha kwa faida. Library ni huduma ya jamii. Haina maana uanzishe kitu halafu baadae ugeuke omba omba kukiendeleza.

NDUGU UNAELEWA KWA HABARI YA Social Enterprise? PROPOSAL NINAYO MIMI, EVERYTHING IN DOUBT KIMEJIBIWA HUMO. WADAU WAKE WAPO!!

Husninyo, belive me, ata ukiweka bure watu hawatajaa, hii sio biashara labda fanya kama huduma.

Na ata pesa za kulipa wafanyakazi mishahara na pango itabidi atafute vyanzo vingine ili visaidie hapo.Yenyewe haitaweza.

Ni vema mkawa criticizers wa ukweli, sio just criticizing!!! hivi Masonjo BIASHARA ni nini? nini hufanyika katika biashara? kuna biashara ya huduma na bidhaa!!! (goods and services) zote huwa produced kwa mantiki ya PRODUCTION, na zote hufanikishwa kwa vigezo vya Factors of production. Mf Benki zinafanya biashara ya huduma!!!
 
Na ndicho nilichofanya, labda wewe ndio unaangalia upande mmoja tu, unaangalia kuanzisha biashara kwa ajili ya kuanzisha tu kwa sababu unapenda kuanzisha, ingekuwa hivyo basi biashara ingekuwa rahisi sana, go ahead, one year from now, rudia kusoma hapa, utapata jibu wakati huo.

Pamoja na WAZO-PLAN na MTAJI-CAPITAL/INVESTMENT; Msingi mkuu wa biashara ni DEMAND-WATEJA WA KUTOSHA wa bidhaa au huduma hizo ili biashara ilete FAIDA itakayowezesha pamoja na mambo mengine KUKUZA na KUIENDESHA BIASHARA HIYO-kulipa pango,wafanyakazi, umeme n.k; ni lazima biashara yenyewe ijihudumie kwenye hayo.

Kwa case ya wazo lako hili haifai kuwa biashara kwa sababu HAKUNA DEMAND/WATEJA-na hivyo hauwezi kupata return of investment na ata biashara hiyo haitaweza kujiendesha na kwenye FAIDA ndio HUSAHAU kabisa.

SHIKA SANA HILI: Hatufanyi biashara tu kwa sababu TUNAIPENDA bali kwa sababu KUNA DEMAND.

LAKINI kama unataka kuanzisha kwa ajili tu ya kutoa HUDUMA TU, yaan utaianzisha na kuiendesha kwa vyanzo vyako vingine na hauhitaji return of investment/FAIDA, ni sawa; lakini still hautakuwa na watu wengi wa kuja kutumia huduma hii ata kama ni ya bure.

USHAURI: EXIT-PLAN:WAZO LAKO KATIKA MAZINGIRA YA KITANZANIA

Kwa kuwa inaonekana unapenda sana VITABU, na kwa kuwa vitabu peke yake havitaweza kujisimamia na kujiendesha, HIVYO kaanzishe STATIONARY KUBWA alafu uweke section ya kuuza na kuazimisha Vitabu na Majalida, iwe section tu ya biashara kubwa.
 
Back
Top Bottom