Hello Jamii forum members:
Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi.
Jambo la msingi nataka project iwe designed kuwafanya watu wote wapendao kujisomea (makundi yote) iwe ndo sehemu yao ya kupata maarifa na kukutania kwa discussion ya masuala yao ya kitaalamu. Itakuwa ni sehemu yenye vitabu vya aina zote kuanzia watoto, shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu na General knowledge katika fani za iana zote hapa duniani. Pia kutakuwa na e-library (kwa ajili ya kujitafutia taarifa na elimi mbalimbali).
HIVI NDO NAANDAAA
BUSINESS PROPOSAL ( MIMI MWENEYEWE NDO FANI YANGU). KWA MWINGINE YEYOTE ATAWEZA JADILI NAMI KUONA NAMNA ANAVYOWEZA KUNITUMIA MIMI KUANDAA SUCH BUSINESS PLAN KWA AJILI YA KUFANYA IMPLEMENTATION SEHEMU NYINGINE YOYOTE (HASA KWENYE MAJIJI).
VISIT ME AT:
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED