IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
- Thread starter
- #61
JF bwana, wakati unadhani unaomba ushauri kutoka kwa wasomi wenzako, kumbe wao wanafikiri tofauti juu ya wazo lako, hivi najiuliza imekuwa dhambi kutoa wazo public kama hivi ili watu wachangie ufahamu wao? Sikutegemea kuwa nitapata michango ya mawazo iliyojaa kejeli na majigambo kama hivi kutoka kwa wadau kama watatu hivi walionisaidia kuchambua wazo langu la mradi, hado mwingine akaleta na review zake za ulaya akidhani nimecopy huko.
Kwa staili hii ya Ukosoaji sidhani kama inaweza kusaidia mtu mwingine, na hivyo naiona sura ilivyo ya baadhi ya wasomi wetu.
Any way licha ya hayo yote nawashukuru wachangiaji wote, hasa UTINGO na MASONJO kwa critics zao, kwa sehemu nimechukua kwani ni ukweli, ila kwa sehemu ...mhhhh!!!!! wacha niwaachie wasomi hawa, siwezi kupinga kejeli zao, sababu sijui wameniwazia nini...... ILA narudia tena HILI lilikuwa WAZO tu na si utekelezaji, wala sijawalazimisha watu walielewe wazo langu kama ni wazo ZURI sana kwa kila mtu. Kama lingekuwa ni wazo zuri 100% nisingewashirikisha humu JF, KIUKWELI NASHANGAA watu hao...yaani wanachangia vizuri ila humohumo wanaharibu....hadi inaonekana kama malumbano, mwenye POST nafuatilia tu nikitaka kujua wasomi wanawazeje.... Nimejifunza mengi sana mazuri kuhusiana na uwezekanao au kutokuwezekana kwa MRADI husika.
KAMA mwanzisha POST naomba tuishie hapa; nimeelewa POINT ZENU WOTE.