Wazo la kuanzisha public library hapa green city-Mbeya mjini

Wazo la kuanzisha public library hapa green city-Mbeya mjini

JF bwana, wakati unadhani unaomba ushauri kutoka kwa wasomi wenzako, kumbe wao wanafikiri tofauti juu ya wazo lako, hivi najiuliza imekuwa dhambi kutoa wazo public kama hivi ili watu wachangie ufahamu wao? Sikutegemea kuwa nitapata michango ya mawazo iliyojaa kejeli na majigambo kama hivi kutoka kwa wadau kama watatu hivi walionisaidia kuchambua wazo langu la mradi, hado mwingine akaleta na review zake za ulaya akidhani nimecopy huko.
Kwa staili hii ya Ukosoaji sidhani kama inaweza kusaidia mtu mwingine, na hivyo naiona sura ilivyo ya baadhi ya wasomi wetu.
Any way licha ya hayo yote nawashukuru wachangiaji wote, hasa UTINGO na MASONJO kwa critics zao, kwa sehemu nimechukua kwani ni ukweli, ila kwa sehemu ...mhhhh!!!!! wacha niwaachie wasomi hawa, siwezi kupinga kejeli zao, sababu sijui wameniwazia nini...... ILA narudia tena HILI lilikuwa WAZO tu na si utekelezaji, wala sijawalazimisha watu walielewe wazo langu kama ni wazo ZURI sana kwa kila mtu. Kama lingekuwa ni wazo zuri 100% nisingewashirikisha humu JF, KIUKWELI NASHANGAA watu hao...yaani wanachangia vizuri ila humohumo wanaharibu....hadi inaonekana kama malumbano, mwenye POST nafuatilia tu nikitaka kujua wasomi wanawazeje.... Nimejifunza mengi sana mazuri kuhusiana na uwezekanao au kutokuwezekana kwa MRADI husika.

KAMA mwanzisha POST naomba tuishie hapa; nimeelewa POINT ZENU WOTE.
 
wewe ni mpuuzi usiye jua matusi ni nini...mjinga akiambiwa mjinga hajatukanwa, ni kiwakilishi tu...utingo is just an ID si ajabu Utingo ni mwalimu wako chuoni. so shut the hell up!!

Kuwa na heshima wewe unajua mi ni shemeji yako niliyemuoa dada yako
 
Mawazo mengine mhhhh!! anyway Michango mizuri, ila kuna vingine haviendani na dhima ya project. kumbuka in social enterprise, faida kubwa ni kwa watumiaji, watakacho lipa kitasaidia kuendeleza taasisi hiyo.

Wazo lako ni zuri sana kwa kufikirika ila ndugu yangu kuna mambo mengi yamesemwa ni ya msingi sana. Ili biashara yoyote iweze kujiendesha lazima kuwe na DEMAND YA KUTOSHA. Kwa habit ya Potential customers wako sina hakika kama utaweza kuiendesha biashara yako kwa ada ya wasomaji. Mfano nimesoma UDSM kwa miaka minne Library nzuri vitabu vipo lakini unaingia kipindi cha mitihani tu na ukiishiwa boom ndio tendency ya kuingia inaibuka siku boom limeingia tu library kweupeee. Haitoshi hapa Kibaha kuna public library bureeee kabisa kila nikienda nakuta wahudumu full usingizi hakuna watu. Wasomaji wanaongezeka pindi cha mitihani tu ya open University na kidogo kipindi cha madogo wanapokalibia kufanya mitihani ya taifa.
USHAURI: USIWATUKANE WALE WANAO CRITISIZE WAZO LAKO CHUKULIA NDIO CHANGAMOTO NA MODIFY PALE UNAPOONA NI SAHIHI. SONGA MBELE KWA UMAKINI WA HALI YA JUU. THINK OUT OF BOX.
 
AGAIN,
Any way licha ya hayo yote nawashukuru wachangiaji wote, kwa critics zao, kwa sehemu nimechukua kwani ni ukweli, ila kwa sehemu ...mhhhh!!!!! wacha niwaachie wasomi hawa, siwezi kupinga kejeli zao, sababu sijui wameniwazia nini...... ILA narudia tena HILI lilikuwa WAZO tu na si utekelezaji, wala sijawalazimisha watu walielewe wazo langu kama ni wazo ZURI sana kwa kila mtu. Kama lingekuwa ni wazo zuri 100% nisingewashirikisha humu JF, KIUKWELI NASHANGAA watu hao...yaani wanachangia vizuri ila humohumo wanaharibu....hadi inaonekana kama malumbano, mwenye POST nafuatilia tu nikitaka kujua wasomi wanawazeje.... Nimejifunza mengi sana mazuri kuhusiana na uwezekanao au kutokuwezekana kwa MRADI husika.

KAMA mwanzisha POST naomba tuishie hapa; nimeelewa POINT ZENU WOTE.
 
Kuwa na heshima wewe unajua mi ni shemeji yako niliyemuoa dada yako

Mbona upo too personal?kipi kinakuuma hivyo?

Haihitaji kuwa na akili kubwa kujua kuwa Money Stunna na Ipilimo ni mtu mmoja au ni mtu na mke wake.
 
Mbona upo too personal?kipi kinakuuma hivyo?

Haihitaji kuwa na akili kubwa kujua kuwa Money Stunna na Ipilimo ni mtu mmoja au ni mtu na mke wake.

PLEASE MASONJO, mimi ni Ipilimo, comment yangu ya mwisho hapo juu nimefunga mjadala wa hiyo proposal; POST ni ya kwangu kwanini malumbano yanaendelea? Money stuna simfahamu, ila nadhani hakupenda the way baadhi ya comments zilivyokuwa na kejeli, Mimi binafsi ni mwelewa sana tu, ndo maana nikafunga mjadala kwa kusema nimepata POINT ZENU VIZURI.
WATU waungwana na wasomi hatuwezi kuishi kwa malumbano na kukashifiana bila sababu za msingi. NAPENDA KUSEMA TENA asante kwa wote waliochangia post yangu, nimeelewa.
 
JF mijadala huwa haifungwi. Hata hivyo post yako ni moja ya post zilizopata wachangiaji wenye uelewa mzuri.

Chukua mazuri hata kama yameelezea kwa lugha ya kejeli.
 
Back
Top Bottom