Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini wafungue hii Barabara kwanza ni Barabara itakayo kuwa na km chache kama 160 ukilinganisha na ya lupembe km 224 mbili itasaidia kuwaunganisha wakazi wa ifakara mlimba nk na mikoa ya nyanda za juu kUsini iringa, Njombe ,ruvuma,mbeya ,songwe ,rukwa nk tatu itakuwa ndo njia mbadala ya kwenda dsm itapunguza msongamano tazam road ,
Itawarahisishia kutanuka kwa soko la mazao yao wananchi wa mlimba na mwisho naona juhudi zimeanza kuonekana ya kupanganfa kukifungua kipande Cha uchindile hadi mlimba na ndo kipande kilicho kuwa kimesalia hongereni tarura kwa maono hayo👇♨️♨️♨️♨️👇
Nao wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlimba Mhandisi Stephano Kaliwa wamekiri uboreshaji wa miundombinu katika halmshauri zao huku akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassa kupitia TARURAna kwamba Halmashauri ya mlimba inatarajia kuchonga barabara ya Mlimba - Uchindile yenye km 80 ambayo itawasaidia kuondokana na adha ya kuzunguka