Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Una hakika mikataba waliyosaini DP World Uingereza ni ya hovyo kama ilivyo hapa kwetu? muhimu tambua tu, ujinga wa msaliti wetu sio universal.Tusijidanganye tatizo siyo uarabu wao...huko ni kuwa na ubaguzi wa rangi...ni Sawa na wao kutuambia tumeshindwa kwa sababu sisi weusi...yaani kama DP World ingetoka Uingereza tungeshangilia kwa sababu ni wazungu...mbona wazungu wenyewe wamewapa mikataba haohao DP World? Tatizo ni wale wadudu wanaoleta ugonjwa wa ufisadiasis maximus.
Ukiona amechangia hiyo 67% basi ujue na Rais atakuwa anawekwa na Mwarabu wa DP World kwa maana anayemlipa mcheza zumari ndiye anayechagua wimboMwarabu akichangia 67% ya Bajeti ya Nchi atakuwa zaidi ya Mo wa Makolo FC!
Hatari na Nusu!Ukiona amechangia hiyo 67% basi ujue na Rais atakuwa anawekwa na Mwarabu wa DP World kwa maana anayemlipa mcheza zumari ndiye anayechagua wimbo
Ndo iwe Bandari zooote nchi nzima na kwa mkataba usio na ukomo?Tusijidanganye tatizo siyo uarabu wao...huko ni kuwa na ubaguzi wa rangi...ni Sawa na wao kutuambia tumeshindwa kwa sababu sisi weusi...yaani kama DP World ingetoka Uingereza tungeshangilia kwa sababu ni wazungu...mbona wazungu wenyewe wamewapa mikataba haohao DP World? Tatizo ni wale wadudu wanaoleta ugonjwa wa ufisadiasis maximus.
Sasa hapo tatizo ni DP World? Mtu amber kupangisha chumba cha duka wewe mwenye nyumba unampa nyumba nzima na cha uani wewe ubakie na sebule tu? Tatizo ni mpangaji..DP World ni mabepari...asili ya ubepari ni unyonyaji...Ndo iwe Bandari zooote nchi nzima na kwa mkataba usio na ukomo?
Kushindwa ni sehemu ya kujifunza. Lets just be positive kuwa this time around tutapatia tutalamba dume.Tatizo siyo DP World... tatizo ni kumbukumbu zetu... Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile...
NBC
TANESCO
ATC
TRC
UDA
Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha mikomoni mwa "wazalendo"...
Hili la bandari ni majaribio yaleyale ya kushindwa kwetu?
Na sikukuu ya Magufuli wanatuondoa kwenye tension ya ubwege wao wa kuanza nchi kwa andazi... kwakua wanajua watz walimkubali MagufuliMFUMO katiba!
Kama mfumo wa katiba ni mbovu Bas mkono wa chuma na damu ndio utatumika way foward hakuna namna!!
Naona na sheria mpya zinatungwa ku suport hayo!!
Mara maafisa usalama kutoshtakiwa,mara viongozi kuzikwa Dodoma wote tena makaburi yanayofanana!
Maandalizi haya ni ya elimination method of solving simultaneous equation!!
Maoni huru haya!!
Paskali awamu hii wanahabari wana hela sanaKushindwa ni sehemu ya kujifunza. Lets just be positive kuwa this time around tutapatia tutalamba dume.
1. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
2 Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?
3. Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
4. Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
P
Naona mpaka mambo yanamwagikaMama anaupiga mwingi. Endeleeni kumsifia na kumtukuza
Tatizo siyo DP World... tatizo ni kumbukumbu zetu... Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile...
NBC
TANESCO
ATC
TRC
UDA
Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha mikomoni mwa "wazalendo"...
Hili la bandari ni majaribio yaleyale ya kushindwa kwetu?