Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why huwa mna list NBC...??
NBC inaingiaje kama mfano mbaya??
Mbona bank za Serikali zilizo Baki mikononi mwa NBC zote zimefeli kuliko NBC???
Twiga bank imefilisika..Kama bank ipi?
Nchi zote za Afrika zimeuzwa na madictator. Kama unataka kutufanya tuone dhalimu alikuwa wa maana basi umekwama. Yeye ndio aliliweka bunge hili lililopitisha uuzwaji huu wa bandari.Ndio mchague kuuza nchi au udikteta.
Na sikukuu ya Magufuli wanatuondoa kwenye tension ya ubwege wao wa kuanza nchi kwa andazi... kwakua wanajua watz walimkubali Magufuli
Ngosha...inachukua muda gani kwa Taifa kujifunza...tumeanza haya in the 90s...Kushindwa ni sehemu ya kujifunza. Lets just be positive kuwa this time around tutapatia tutalamba dume.
1. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
2 Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?
3. Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
4. Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
P
Inaonekana Imani yako Haba, au sikukuelewa mimi!!!Mwarabu akichangia 67% ya Bajeti ya Nchi atakuwa zaidi ya Mo wa Makolo FC!
Swali gumuNdio mchague kuuza nchi au udikteta.
Hakuna muda maalum wa kujifunza, tunajifunza kwa makosa, hivyo sasa tutakuwa makini zaidi.Ngosha...inachukua muda gani kwa Taifa kujifunza...tumeanza haya in the 90s...
Ni kweli, mambo yetu ni super!.Paskali awamu hii wanahabari wana hela sana
Na ukiangalia yule marehemu ameonyesha dira ni namna gani rais ama chama kinaweza tumia vbaya mamlaka yake bila kufanywa chochoteWananchi walimkubali Magufuli, kisha Magufuli akapora uchaguzi! Sasa kama wananchi walimkubali bado akapora uchaguzi, wangekuwa hawamkubali ingekuwaje?
Mbaya zaidi waarabu wenyewe hawatupendi watu weusiInauma sana nchi inauzwa kwa waarabu
Mkataba tuliosaini na Dp World una u hovyo gani?Una hakika mikataba waliyosaini DP World Uingereza ni ya hovyo kama ilivyo hapa kwetu? muhimu tambua tu, ujinga wa msaliti wetu sio universal.
Hivi wewe kwa akili zako timamu unaweza vipi kutoa "Exclusive Rights" kwa mgeni anayekuja kuwekeza nchini kwako?
Yani unamuacha mgeni ndio awe bosi wako wewe mwenyeji, huu kwangu sio ujinga tu, ni ujinga unaoambatana na laana, elimu ya huyu msaliti lazima ichunguzwe, anaweza kuwa alighushi vyeti, sasa nina mashaka nae sana.
Akikujibu nishtueTwiga bank imefilisika..
Tib bank imeenda..
Bank ya wanawake imeenda
Bank ya wakulima imeenda..
Tcb inayumba ...haijaweza fikia NBC licha kuwa iko serikalini...
Tumepigwaje? FafanuaHapana kwa kwelly hata kama mm sio mtaalamu lakini kwa hapa . Tumepigwa
View attachment 2656515
Mkataba hauna limit na hautupi favor ss wazawa kabisa ila Kuna nafsi ya mikataba midogo midogo ambayo itakua Ina sainiwa.. ambayo haitakua na nguvuTumepigwaje? Fafanua
Nani wamefilisi hizo bank? Salama ya NBC ni awamu ya tano. It was going down the drain.....pengine kufungaTwiga bank imefilisika..
Tib bank imeenda..
Bank ya wanawake imeenda
Bank ya wakulima imeenda..
Tcb inayumba ...haijaweza fikia NBC licha kuwa iko serikalini...
Tatizo kubwa ni uendeshaji na waendeshaji wa mashirika hata hizo bandari wakisema sheria ibadilike iwe ruhusa kwa watu au kampuni binafsi kuwekeza ktk ujenzi na huduma za bandari yaani kuwe na private ports zilipe kodi kama kampuni nyingine si yatatokea yale yale kama ya ttcl ujio wa hizi kampuni binafsi za simu zimeuwa ttcl sokoni ,watanzania wengi watapiga makelele mengi sana kwa kuwa tu wanafuata mkumbo kwa kuwa fulani kasema wanamheshimu ila likifika suala la utashi binafsi wa kupata huduma utawaona machaguo yao huwa yanakuwa tofauti na makelele yao.Tatizo siyo DP World... tatizo ni kumbukumbu zetu... Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile...
NBC
TANESCO
ATC
TRC
UDA
Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha mikomoni mwa "wazalendo"...
Hili la bandari ni majaribio yaleyale ya kushindwa kwetu?