Wazo la Leo: Aliyeumwa na Nyoka...

Why huwa mna list NBC...??

NBC inaingiaje kama mfano mbaya??

Mbona bank za Serikali zilizo Baki mikononi mwa NBC zote zimefeli kuliko NBC???
 
Ni kawaida yao kutangaza neema zijazo halafu baadae tunagundua tulipigwa.

Yaani tumegeuka kama watu wa nchi ya kusadikika ambayo mwandishai Shaban Robert anasema wana kawaida ya kutafuta fimbo baada ya kwisha kung'atwa na nyoka!
 
Wananchi walimkubali Magufuli, kisha Magufuli akapora uchaguzi! Sasa kama wananchi walimkubali bado akapora uchaguzi, wangekuwa hawamkubali ingekuwaje?
Na ukiangalia yule marehemu ameonyesha dira ni namna gani rais ama chama kinaweza tumia vbaya mamlaka yake bila kufanywa chochote
 
Hapana kwa kwelly hata kama mm sio mtaalamu lakini kwa hapa . Tumepigwa
 
Mkataba tuliosaini na Dp World una u hovyo gani?
 
Twiga bank imefilisika..
Tib bank imeenda..
Bank ya wanawake imeenda
Bank ya wakulima imeenda..
Tcb inayumba ...haijaweza fikia NBC licha kuwa iko serikalini...
Nani wamefilisi hizo bank? Salama ya NBC ni awamu ya tano. It was going down the drain.....pengine kufunga
Maduka ya kubadili pesa...pengine kudhibiti wakopaji wenye agenda za kutolipa...ila hatuna cha kujivunia kwenye uwekezaji so far.
 
Tatizo kubwa ni uendeshaji na waendeshaji wa mashirika hata hizo bandari wakisema sheria ibadilike iwe ruhusa kwa watu au kampuni binafsi kuwekeza ktk ujenzi na huduma za bandari yaani kuwe na private ports zilipe kodi kama kampuni nyingine si yatatokea yale yale kama ya ttcl ujio wa hizi kampuni binafsi za simu zimeuwa ttcl sokoni ,watanzania wengi watapiga makelele mengi sana kwa kuwa tu wanafuata mkumbo kwa kuwa fulani kasema wanamheshimu ila likifika suala la utashi binafsi wa kupata huduma utawaona machaguo yao huwa yanakuwa tofauti na makelele yao.
Ila ni wakati sasa haya mashirika ya umma yaache kusubiri ruzuku yatafute mikopo yaboreshe mitaji yao na teknolojia na yafanye biashara yalipe mikopo yapeleke faida serikalini taifa lifaidike na uwepo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…