zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Pinga Ukimwi,katakaa ngono isiyo salama.
hata sijui.,hivi tabasam na kicheko ni kipi hutangulia.?kaka huu upepo wa kaskazi
Pinga Ukimwi,katakaa ngono isiyo salama.
hata sijui.,hivi tabasam na kicheko ni kipi hutangulia.?
Ukimwi hausababiswi na ngono tu.
tabasamu kwanza
Mkimaliza mkale madafu....
ahsante kwa ushauri
missing you sana, hebu twende pinda
Hata asipokwambia Moyo wake utamwambia..
Umekuwa DHL
muende wap?
pindu.. Ni kituo chetu cha kazi, si unajua sisi ni walimu..!?