Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Hata wakihamia huko watakua na la kuchangia hao wamezoea kujibebisha na '''basi sawa...sa itakuaje...jomooni...basi tyuuu😂😂 ''' Sa mtu wa hivyo hata ukimpeleka site akasimamie mafundi si wanampiga na yeye kakaa hapo hapo hajui hata mfuko mmoja wa cement fundi anatakiwa ajengee tofali ngapi i
hilo wao hawajali maana wengi hufuata upepo unapovumia
 
Kwamba wewe ndio ulitumia mbinu hizo? Na ukafanikiwa?
Kama sivyo una uhakika gani na unayoyasema?
google hii sentensi mkuu,"what your favourite TV network can tell you more about your personality" ni utafiti uliofanywa huko marekani na wanasaikolojia nadhani mleta thread hayupo mbali sana na ukweli, mfano kwenye huo utafiti wameelezea kwanini baadhi ya watu wazima hupenda kuangalia katuni za watoto.
 
Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya.

Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio utajua huyu mwanamke ana akili au ni wale wanaotumia makalio badala ya akili kuishi hapa duniani!

Sasa fwata huu mwongozo kumjua mwanamke mwenye akili.

1. Ukiona mwanamke mara kwa mara au 90% ya muda wake hapa JF yupo jukwaa la chitchat, jukwaa la mapenzi jukwaa la celebrite au jukwaa lingine linalofanana na hayo jua huyo ana akili ndogo achana nae.

2. Ukiona mwanamke walau asilimia 70 mpaka 90 ya muda wake hapa JF anautumia katika majukwaa kama biashara, intelijensia, international forum, ujenzi, technolojia, dini na majukwaa mengine ambayo yanahitaji utumie "akili" ili uchangie jua huyo ana akili na unaweza weka ndani maana hakuna mwanamke mwenye akili ndogo atasogelea haya majukwaa!

Yangu ni hayo, sasa kazi kwako usije sema hatujakwambia!

Upepo wa Pesa.
Duhhh! Sawa
 
Unampa huyo kaka mzuri kazi ngimu ya kukukokota tu kila siku, akifa utatesa familia.
Ndio maana tunataks wanawake wanaojirlewa wawe wasaidizi bora sio wa kukokotwa tu
Mimi nimesema kuongoza, kukokota unasema wewe.

Unadhani kuna mwenye akili atakubali kuwa na kilaza? Kaka mzuri anajua zaidi, umbea haumtoi mtu akili.
 
Back
Top Bottom