Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Umeshaharibu tayari maana watahamia huko siri hii tulikuwa tunaijua na jukumu la kuwapepeta kwa kuanzisha nyuzi hizo tulimkabidhi mshana Junior ili tuwajue na kuzichangia kuwapima
 
Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya.

Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio utajua huyu mwanamke ana akili au ni wale wanaotumia makalio badala ya akili kuishi hapa duniani!

Sasa fwata huu mwongozo kumjua mwanamke mwenye akili.

1. Ukiona mwanamke mara kwa mara au 90% ya muda wake hapa JF yupo jukwaa la chitchat, jukwaa la mapenzi jukwaa la celebrite au jukwaa lingine linalofanana na hayo jua huyo ana akili ndogo achana nae.

2. Ukiona mwanamke walau asilimia 70 mpaka 90 ya muda wake hapa JF anautumia katika majukwaa kama biashara, intelijensia, international forum, ujenzi, technolojia, dini na majukwaa mengine ambayo yanahitaji utumie "akili" ili uchangie jua huyo ana akili na unaweza weka ndani maana hakuna mwanamke mwenye akili ndogo atasogelea haya majukwaa!

Yangu ni hayo, sasa kazi kwako usije sema hatujakwambia!

Upepo wa Pesa.
Aisee
 
Hakuna kama Evelyn Salt

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Nashinda jukwaa la biashara na hakuna mutu kaja kupropose, hii ni tabia gani eti????
 
Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya.

Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio utajua huyu mwanamke ana akili au ni wale wanaotumia makalio badala ya akili kuishi hapa duniani!

Sasa fwata huu mwongozo kumjua mwanamke mwenye akili.

1. Ukiona mwanamke mara kwa mara au 90% ya muda wake hapa JF yupo jukwaa la chitchat, jukwaa la mapenzi jukwaa la celebrite au jukwaa lingine linalofanana na hayo jua huyo ana akili ndogo achana nae.

2. Ukiona mwanamke walau asilimia 70 mpaka 90 ya muda wake hapa JF anautumia katika majukwaa kama biashara, intelijensia, international forum, ujenzi, technolojia, dini na majukwaa mengine ambayo yanahitaji utumie "akili" ili uchangie jua huyo ana akili na unaweza weka ndani maana hakuna mwanamke mwenye akili ndogo atasogelea haya majukwaa!

Yangu ni hayo, sasa kazi kwako usije sema hatujakwambia!

Upepo wa Pesa.
Mleta Uzi mungu akubarik Sana
Uzi umenisaidia mno kifikra by the way sikuwa addicted na mmu ila ilikua ni first priority Kila nikiingia jf na Sasa ni last priority na nnaweza nisguse mmu for even a month😂. Well done umeokoa jahazi mtoto wa mama mkwe saiv anaona changes Kwa mke wake
 
Back
Top Bottom