Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Khaaaa😳To yeye ni wife material shida ni single mom na hajatuonyesha kaburi la mzazi mwenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaa😳To yeye ni wife material shida ni single mom na hajatuonyesha kaburi la mzazi mwenzake
🤣🤣🤣Wewe mwenyewe ungekua na akili ungetoa mada kuhusiana na technology, kilimo, ufugaji
Huna ndo maana umetoa mada iliyo jukwaa la MMU...
Ujenzi zone 😅😅Hata sijui nilipo me popote napojisikia kuchangia wazo nafanya hivyo
Kama Nina knowledge napo basi nitaacha wazo langu
🤣🤣🤣Tuachieni pisi kali zetu humu chitchat na jukwaa la mapenzi , nendeni huko kwa hayo majembe yenu majukwaa ya biashara .
Ahsante sanaPole sana bibie.
Khaaaa🤣🤣🤣🤣Hata wakihamia huko watakua na la kuchangia hao wamezoea kujibebisha na '''basi sawa...sa itakuaje...jomooni...basi tyuuu😂😂 ''' Sa mtu wa hivyo hata ukimpeleka site akasimamie mafundi si wanampiga na yeye kakaa hapo hapo hajui hata mfuko mmoja wa cement fundi anatakiwa ajengee tofali ngapi i
Hatari sanaKuna wadada kila mada wanachangia wanakua online asububi mpaka saa sita usiku. Hua nashindwa kuwaelewa aisee🤔🤔
HahahahaKuna wadada kila mada wanachangia wanakua online asububi mpaka saa sita usiku. Hua nashindwa kuwaelewa aisee🤔🤔
Sio kila mtu anapenda mwanamke mpambanaji ebooo🤥
Hajui kuwa Kuna wanaume wanataka mwanamke akae homeSio kila mtu anapenda mwanamke mpambanaji ebooo🤥
Hatari sana🤔Mengi yalivamia yakijua Jf ni Dating App.
Hii dunia kuna vitu tofauti tofauti kulingana na uhitaji wa muhusika kamwe hatuwezi kufanana kwa sababu tunafikiri tofauti.Hajui kuwa Kuna wanaume wanataka mwanamke akae home
Kila kitu anamhudumia
🤝 Unfortunately hawaelewi hiiHuko MMU na ChitChat ndio pazuri kumjua sasa kama unataka mke hapa jf.
Wewe angalia hasa jinsi anavyochangia mawazo yake, hoja zake kwenye mada za mahusiano, mapenzi, malezi, familia, urafiki n.k.
Anachosema mtu au anachocomment mtu kwenye mitandao ya kijamii kinapima sana jinsi alivyo hata awe mnafiki ukimfuatilia utamjua tu mwisho wa siku
Ila kwenye ujenzi na biashara hauwezi kumjua vizuri tabia ya mwanamke wa jf
[emoji23][emoji23]To yeye ni wife material shida ni single mom na hajatuonyesha kaburi la mzazi mwenzake
Sasa hapa ni ngumu kukujua Mwanamke wewe kama una akili au hauna.Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya.
Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio utajua huyu mwanamke ana akili au ni wale wanaotumia makalio badala ya akili kuishi hapa duniani!
Sasa fwata huu mwongozo kumjua mwanamke mwenye akili.
1. Ukiona mwanamke mara kwa mara au 90% ya muda wake hapa JF yupo jukwaa la chitchat, jukwaa la mapenzi jukwaa la celebrite au jukwaa lingine linalofanana na hayo jua huyo ana akili ndogo achana nae.
2. Ukiona mwanamke walau asilimia 70 mpaka 90 ya muda wake hapa JF anautumia katika majukwaa kama biashara, intelijensia, international forum, ujenzi, technolojia, dini na majukwaa mengine ambayo yanahitaji utumie "akili" ili uchangie jua huyo ana akili na unaweza weka ndani maana hakuna mwanamke mwenye akili ndogo atasogelea haya majukwaa!
Yangu ni hayo, sasa kazi kwako usije sema hatujakwambia!
Upepo wa Pesa.
Hizo dalili za nyege siyo akili ndogoYuko sahihi alichoandika.
Ogopa sana mwanamke mpenda umbea na kuongelea mapenzi kila wakati.