Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kaka nmepokea maua yangu 🤗...... kwakweli tukifuata muongozo wa mtoa mada, uongo mbaya huyu bibie yuko vizuri sana saaana....
😀😀😀Tunakula kama viwavi jeshi na hatujali roroseeee
Hebu nipe recipe ya juice mpya mie niingie studio chaaaap 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo na wanaume wanaoshinda MMU, chitchat na cereblity forum nawao hawana akili?
Mtoa mada wewe ndio unashida.
Unaweza kuta anaeshinda huko MMU, akawa na ujuzi kuliko huyo anaeshinda jukwaa la ujenzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wakihamia huko watakua na la kuchangia hao wamezoea kujibebisha na '''basi sawa...sa itakuaje...jomooni...basi tyuuu[emoji23][emoji23] ''' Sa mtu wa hivyo hata ukimpeleka site akasimamie mafundi si wanampiga na yeye kakaa hapo hapo hajui hata mfuko mmoja wa cement fundi anatakiwa ajengee tofali ngapi i
Rhabhekhaaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mengi yalivamia yakijua Jf ni Dating App.
Anataka wote tuwe serious hili hakiwezekani😂😂😂Kwa hiyo na wanaume wanaoshinda MMU, chitchat na cereblity forum nawao hawana akili?
Mtoa mada wewe ndio unashida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wadada kila mada wanachangia wanakua online asububi mpaka saa sita usiku. Hua nashindwa kuwaelewa aisee[emoji848][emoji848]
Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya.
Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio utajua huyu mwanamke ana akili au ni wale wanaotumia makalio badala ya akili kuishi hapa duniani!
Sasa fwata huu mwongozo kumjua mwanamke mwenye akili.
1. Ukiona mwanamke mara kwa mara au 90% ya muda wake hapa JF yupo jukwaa la chitchat, jukwaa la mapenzi jukwaa la celebrite au jukwaa lingine linalofanana na hayo jua huyo ana akili ndogo achana nae.
2. Ukiona mwanamke walau asilimia 70 mpaka 90 ya muda wake hapa JF anautumia katika majukwaa kama biashara, intelijensia, international forum, ujenzi, technolojia, dini na majukwaa mengine ambayo yanahitaji utumie "akili" ili uchangie jua huyo ana akili na unaweza weka ndani maana hakuna mwanamke mwenye akili ndogo atasogelea haya majukwaa!
Yangu ni hayo, sasa kazi kwako usije sema hatujakwambia!
Upepo wa Pesa.
.....tunataka mwanamke Bora tuoe na sio Bora mke......Yan wanaume wa jf sijui wanataka nn [emoji23][emoji23]
Kwa kigezo hicho kweli ndoa tutaisikia kwenye redio tu😀 tunaoshinda MMU tuna hali mbaya😀kama ndo hivyo nshakosa ndoa😀😀😀😀
mno yaaani kwisha habari yetuKwa kigezo hicho kweli ndoa tutaisikia kwenye redio tu😀 tunaoshinda MMU tuna hali mbaya😀