Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Jamani msituchanganye
Mnataka tuweje
Sasa mnataka tukajazane huko kwenye majukwaa ya vitabu sijui technology halafu huku MMU mtabebishana na kina naniii

Wengine hayo matechnology sijui vitabu tunashinda nayo kila siku
Tukija huku tunataka kurefresh tu

Wengine kusoma vitabu sio hobby kabisa
Hebu mtupumzishe au mnataka jf mubaki wanaume tupu

Pole sana bibie, je umeangukia kundi gani? La kwanza ua la pili?
 
Mkuu wewe ulitumia hiyo mbinu na ulifanikiwa kupata mdada mwenye akili Anayeshinda jukwaa la vita? Vipi na wakaka tunaokua nao kwenye hayo majukwaa ya MMU nao ni hawafai kuoa ama?
Kushinda MMU haimanaanishi hamna akili ni katika kujifunza maisha mengine upande wa mahusiano na mapenzi sometimes kurefresh, maisha yana stress haya so where to refresh ? Ni jukwaa la chitchat na MMU bana ebu tuache

Pole sana bibie.
 
Back
Top Bottom