Wazo la Leo:Ukioa Mke si bikra Ujue Umeoa Mpenzi Wa Mtu.

wasichana wengi wanavunjwa bikra wakiwa std 4.
 
Unaweza vunjwa bikra na mtu ambaye sio mpenzi wako
 
Hapa inanibidi nisubiri tu hadi apatikane huyo bikra,kula makombo is not my choice.
 
Je ukimtoa mwenyewe huo ubikira na ukamuoa unasemaje hapo
 
Tukutane tena baadae....
 
Siku hizi anakutegeshea tu wakati wa siku zake ukiona dam unadhani umeivunja kumbe umechezewa akili

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Huko kuvunja BIKIRA ZA MIAKA JUU YA 18 MNAZANI KAZI NDOGO. Si ushukuru aliye ivunja mapema.lol!
 
Vijana cku hizi tuna wasichana lakin tukitka kuoa tunasaka wengne je bikira itapatkana wap?
 
Kumpata mwanamke bikira kisha muoane kwa sasa ni sawa na teja mpigadebe pale kituo cha daladala ubungo kuweza kumuoa Maria Obama! Ha ha ha!
 
Acha hizo wewe...yaani wenzio wakiwa bize kula tundi wewe unakuwa bize kutundua birika honeymoon?! Mke wa hivyo namtia vibao kwa uzembe..yaani hadi unafikia umri wa kuolewa unakuwa na birika?!k zenye uzoefu zina raha yake bana asikwambie mtu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…