Hili nalo neno...Mkuu unaweza kujipongeza kwa Bikra ya mbele kumbe nyuma watu washafumua marinda longiiii time
Mimi nilimpata lakini alivyo mtata nikaona isiwe kesi kwani bikira ndo nn nipo na wangu ambaye alishatolewa bikra kama mimi yaani tunamatchKumpata mwanamke bikira kisha muoane kwa sasa ni sawa na teja mpigadebe pale kituo cha daladala ubungo kuweza kumuoa Maria Obama! Ha ha ha!
tehtehtehtehtehtehtehtehteh nimecheka mpaka nikataka kulia we kiteitei ni balaa eti ntamtia vibao kwa uzembe dahacha hizo wewe...yaani wenzio wakiwa bize kula tundi wewe unakuwa bize kutundua birika honeymoon?! Mke wa hivyo namtia vibao kwa uzembe..yaani hadi unafikia umri wa kuolewa unakuwa na birika?!k zenye uzoefu zina raha yake bana asikwambie mtu....
Hapa inanibidi nisubiri tu hadi apatikane huyo bikra,kula makombo is not my choice.