Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
Umeniamsha usingizini,najiandaa kutoa talaka.
Hahahahah!! Kwahiyo mke mzuri kumuoa uliemtoa ubikira mwenyewe....vigumu kumpata karne hii
....loading...............deleted by ..............
Naam mpendwa...kila nikitaka kukomenti, naona maandishi yanapotea kwa keyboard!!
Best hebu nipe notsi kwanza, bikra ndio nini?
njoo PM nkupe akiba ya maneno
swadakta...nshabisha mlango wa PM nagojea unfungulie tu!