1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
nimeipenda hii...alafu ni kwa nini? Natamani niwe nachoma mishkak ndan kwanguMshikaki hauchomwi kwa jiko la gesi.
Hata uwe na HARAKA vp huwezi kuomba lifti gari la TAKA!
Hata ukiwa na bahati iliyoje huwezi kuokota nyumba
Hata uwe tozi vipi huwezi vaa kanzu mlegezo
1.hata ufeli vipi huwezi kuwa na panton.
2.hata kama mama wa taifa anabwana lakini hatuwezi kumwita baba mdogo wa taifa
4.hata uwe na majuto kiasi mani huwezi kuwa comedian
japo maisha popote lakini huwezi kuishi chooni.
na kadhalika na kadhalika
Tatizo hicho kichwa kiki switch on kingine huwa kina switch off na huo ndo mwanzo wa majanga duniani,rape,incest etc.No 3!
Kiombe razi fasta hicho kichwa!
Kichwa hicho ndiyo source ya kila binadamu aliyeko kunako uso wa ardhi!
Hicho kichwa kinawasababisha walaji wake wachomane visu! Watiane ngeu!
Warogane!
Wadada wanafukuzwa mashuleni!
Afu useme hakina mawazo?
No 3!

Tatizo hicho kichwa kiki switch on kingine huwa kina switch off na huo ndo mwanzo wa majanga duniani,rape,incest etc.
Tatizo hicho kichwa kiki switch on kingine huwa kina switch off na huo ndo mwanzo wa majanga duniani,rape,incest etc.