Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

Hata uwe na HARAKA vp huwezi kuomba lifti gari la TAKA!

Hata ukiwa na bahati iliyoje huwezi kuokota nyumba

Hata uwe tozi vipi huwezi vaa kanzu mlegezo

1.hata ufeli vipi huwezi kuwa na panton.
2.hata kama mama wa taifa anabwana lakini hatuwezi kumwita baba mdogo wa taifa

4.hata uwe na majuto kiasi mani huwezi kuwa comedian

japo maisha popote lakini huwezi kuishi chooni.

na kadhalika na kadhalika

Sijui mwanzisha mada kawaagiza kuwa Ili wazo lako linoge kwenye uzi huu lazima utumie neno "huwezi" !!!
 
hata uwe mpenda chabo vipi huwezi kuwa piga chabo wazazi wako
 
Hhahahha na mzee ni zege hhaa

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
1. Hata uwe MSAFI vipi huwezi
kunawa mikono
wakati wa KULA rushwa.
2. Hata uwe na haraka kiasi gani
huwezi
kwenda zanzibar kwa JAHAZI la
mzee Yusuph.
3. KICHWA cha mb** na chenyewe
ni kichwa ila
hakina mawazo.
4. Siku utakayokufa ndani ya maji
ndipo
utakapojua kua MAJI SIYO UHAI.
5. Dobi hata apige PASI vipi hawezi
kupata
namba BARCELONA.
 
No 3!
Kiombe razi fasta hicho kichwa!
Kichwa hicho ndiyo source ya kila binadamu aliyeko kunako uso wa ardhi!
Hicho kichwa kinawasababisha walaji wake wachomane visu! Watiane ngeu!
Warogane!
Wadada wanafukuzwa mashuleni!
Afu useme hakina mawazo?
 
Tatizo hicho kichwa kiki switch on kingine huwa kina switch off na huo ndo mwanzo wa majanga duniani,rape,incest etc.
 
kinawazaje,teh teh teh te
 
Tatizo hicho kichwa kiki switch on kingine huwa kina switch off na huo ndo mwanzo wa majanga duniani,rape,incest etc.

Kiongozi !
Siku zote hua nakuamini unaongeaga points siku za mwisho wa mwezi hadi kwenye tr 10 za mwezi!
Kama hivi leo bado uko ndani ya wakati!
Nice points umeshusha!
Sasa subiri ifike tr 15-27 ni utatulisha Viazi kwa Utumbo mpaka tunavimbiwa!
 
Ukweli ni kwamba japo mwili wa mwanaume unavichwa viwili....
Lazima vipeane nafasi wakati wa kuuongoza huo mwili....
Kama tunavyojua mwili hauwezi kutumikia vichwa viwili....
Utakifwata kilicho active na kuachana na dominant...
 
Back
Top Bottom