Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

Hata uwe na meno makubwa zaidi ya ngiri kamwe huwezi kutafuna maji!
 
Ukiwa na mpenzi MZURI ni sawa na kufungua account NMB hivyo swala la FOLENI ni la KAWAIDA na ni LAZIMA!
 
Back
Top Bottom