Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

Hata kma unapenda sana cheo cha sir jina lko likiwa mark huwezi jiita sir mark
 
ivi madokta kabla ya udokta walikua ni madokta au kulikua na madokta wakuwatibu madokta kabla ya madokta hawajawa madokta?
 
Wanawake watavaa min skirt za aina zote lakini kamwe hawawezi kuvaa mini Kabaaang
 
ivi madokta kabla ya udokta walikua ni madokta au kulikua na madokta wakuwatibu madokta kabla ya madokta hawajawa madokta?

Dah! Mkuu hii inaitwa PASUA KICHWA! embu anzisha thread yake tegemezi ili tukutupie na zakwetu mkuu! Serious!
 
Back
Top Bottom