xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
Hata kma unapenda sana cheo cha sir jina lko likiwa mark huwezi jiita sir mark
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama umezeeka kama hujaondoka kwa baba yako na mama yako wewe bado ni mtoto.
Hata uwe sharobaro kias gan huwez kupiga boxa mlegezo
Acha kazi,upate kazi, kutafuta kazi.
Hata uwe na HARAKA vp huwezi kuomba lifti gari la TAKA!
Kama kutoa ni MOYO, kujumlisha ni MAINI.
Mkaa hauuzi supermarket
Ukitaka kujua umuhimu wa makalio,jaribu kukalia kichwa
Sent from my BlackBerry Porsche Design using JamiiForums
Hata uwe na mbio vipi huwezi kuuzidi upepo.
Kopo la chooni ni la chooni tu huwezi kuliweka kabatini hata likiwa jipya.
hata uwe unapenda ngono kiasi gani huwezi kuzini na maiti
hata mwanamke awe malaya kiasi gani hawezi kutamani kuzini na punda
ivi madokta kabla ya udokta walikua ni madokta au kulikua na madokta wakuwatibu madokta kabla ya madokta hawajawa madokta?