Wazo la leo wakuu!!!

hata uwe kinyozi mzuri vipi huwezi kunyoa vichwa vya habari
 
kama shetani akizeeka anakuwa malaika basi kahaba akizeeka anakuwa sister na jambazi akizeeka anakuwa polisi pia JK akizeeka anakuwa Nyerere
 
Hata uwe busy vp huwezi kumuomba mtu aku......... Mkeo.

Hata uwe na mapozi vp huwezi kuweka 4 ukiwa umwkalia mkeka.
 
Futi kafutika futi na futi kafutika futi na futi kafutika futi!
 
Hata uwe mtaalam wa kuanika, huwez anika dagaa kwenye kamba ya nguo
 
Si kila anayezungumza kuhusu madaraja ni mkandarasi wengine ni walimu.
 
If raping is un avoidable just lay down and enjoy it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…