Me n mgen jaman! I lyk u xn wanajf
Utaosha vyombo vyote lakin si vya habari.
1. Vyombo vya habari navyo ni vyombo lakini havioshwi.
2. Cheti cha kupewa bure bila kufanya mitihani ni cheti cha ndoa,mitihani inakuja baadae!
3. Rape is not a crime,it's just a suprise sex
4. Nguo chakavu ndio dekio jipya.