Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

hata uwe na haraka vipi huwezi kuomba lift kwenye gari la taka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
1. usishangae ng'ombe anatembea huku anakunya anajali muda.
2. Kobe kutembea na nyumba yake, hapendi kurudi nyuma.
3. Hata uwe mtata vipi huwezi kudai ticket kwa dereva bodaboda
4. Hata uwe na haraka kiac gan huwezi funga supu kwny gazeti.
 
Ndipo umetisha kakka ngombe anajali mda anatembea huku anakunya hhaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hata uwe unapenda ngono kiasi gani huwezi kuzini na maiti

hata mwanamke awe malaya kiasi gani hawezi kutamani kuzini na punda
 
1. Vyombo vya habari navyo ni vyombo lakini havioshwi.
2. Cheti cha kupewa bure bila kufanya mitihani ni cheti cha ndoa,mitihani inakuja baadae!
3. Rape is not a crime,it's just a suprise sex
4. Nguo chakavu ndio dekio jipya.

aisee umetisha hasa na namba 2
 
1.furaha ya ndoa watoto,raha ya uchumba mawasiliano ila sumu ya mapenzi ni usaliti.

2. Kushirikiana katika uzalishaji mali na shughuli zingine za maendeleo ni misingi ya kijamaa lakini kushirikiana ktk mapenz na ndoa ni uzinzi.
 
Back
Top Bottom